Bisibisi kwani anakuja kukubaka? yeye hana nia ya kubaka ni fahari ya macho tu, sasa bisibisi utamchoma wapi wakati anakula mingo? Jamaa huenda ana darubini kali so from far anakula deo tu...haya mpe adress uone kazi yake....
Mwanzo nlikwambia atatobolewa macho....hayo ndo ntakayoyatafuta!!!
Hehehehe adress mwambie aje Ungalimited....kama anatokea Sinoni avuke tu mto mi nakaa nyumba ya kwanza toka mtoni!!!
Mwanzo nlikwambia atatobolewa macho....hayo ndo ntakayoyatafuta!!!
Hehehehe adress mwambie aje Ungalimited....kama anatokea Sinoni avuke tu mto mi nakaa nyumba ya kwanza toka mtoni!!!
Mbona dawa ya chabo ni Chelewa,ata akiwa nakadistance lazima augulie maumivu.
Hahahahah....angekua ameniona mbona angeshapofuka!!!Wewe mbona kwa list yake upo tayari? alishakuchabo zamani wakati unaoga mtoni....Atakuja tena kufanya Remix upo?
Mhhh siunajua tena mambo ya kutamani!!Kama siwezi kuwa na kiwili wili cha hivyo mtaani angalau kwenye picha basi!!!halafu lizzy kwa kuzuga eti huna shape ya BIKINI hapo kwa avatar tu inakuprove wrong...najua hujaiweka hiyo avatar kimakosa, back naona bonge la COCO BEACH kama sio ile ya wahindi inayochoma watu mioto huko KIGAMBONI...
We nawe...huna imagination kabisa???Atatobolewa macho na chelewa!!Chelewa linakuwaje mzee tupe details kidogo and how?
Anachungulia wamama tu au na wababa?
Hahahahah....angekua ameniona mbona angeshapofuka!!!
Mhhh siunajua tena mambo ya kutamani!!Kama siwezi kuwa na kiwili wili cha hivyo mtaani angalau kwenye picha basi!!!
We nawe...huna imagination kabisa???Atatobolewa macho na chelewa!!
Mwili wa kuvaa bikini sina beach nikafanye nini mie???
Huku Ungalimited ukikutwa hata umesimama tu ukaegemea ukuta wa mtu una kesi ya wizi...achili mbali kupiga chabo!!Mpaka hapo naamini hajapata hiyo nafasi!!
Heheheheh......kama anaweza aje....mi hata nikioga naingia na bisibisi!!!
Tuhakikishie kwamba hajawahi kuyaona ... maana ni kama vile unamfahamu.Anajua maumbo ya wanawake wote???Mbona langu halijuii???
Nwy mwambie aache kabla hajatobolewa macho!!!
Tuhakikishie kwamba hajawahi kuyaona ... maana ni kama vile unamfahamu.
Duuuuh hiyo kali!!!Mwili wa kuvaa bikini sina beach nikafanye nini mie???
Huku Ungalimited ukikutwa hata umesimama tu ukaegemea ukuta wa mtu una kesi ya wizi...achili mbali kupiga chabo!!Mpaka hapo naamini hajapata hiyo nafasi!!
Heheheheh......kama anaweza aje....mi hata nikioga naingia na bisibisi!!!
Hahahahahaaaa!!ndugu umenifurahisha sana halafu usikute anawaogopa maduu ile mbaya.huyo ukimchunguza utakuta ni corporate customer wa masterbation,Akitoka hapo kwenye chabo lazima kwanza akajishuhulishe bafuni,na ukimfuatilia kwa makini utakuta mikanda yote ya xxx ameshamaliza sasa anataka kuona viwili wili live and direct...kwa kweli amehathirika kisailogia na amini usiamini raha anayopata wakati anakuchungulia ni kubwa kuliko hata ukimkaribisha akuangalie kabisa face to face,au ukampa kabisa zawadi ya ushindi...