Tatizo mbao zikizeeka utakoma utakiamkia kigae shikamoo.Kabisa inabidi upige msingi imara maana vigae vile ni sawa na kupiga slab.
Mchunga peku hapendi.. ila hana viatu🚶♂️View attachment 1425814
Vigae vinapendeza, huvutia machoni na kuifanya nyumba ionekane nadhifu.
Vigae ni imara na havitetereki hata nyumba ikiungua moto vigae haviungui.
Vigae vina uhakika wa kukaa salama kwenye paa la nyumba kwa miaka 99.
Vigae vina punguza joto ndani ya nyumba
Kuna jamaa aliniambia vinaanzia 1900 @ hapo Mbezi TilesBei zake zikoje?
MAGUFULI4LIFE.
Vipo mkuuHivi vile viwanda vya kutengeneza vigae bado vipo kweli…?
Nakumbuka kimoja kiliitwa Mbezi VigaeHivi vile viwanda vya kutengeneza vigae bado vipo kweli…?
ndio mkuu, na mbao nzito za kutosha kubeba kigae, yani ujipamge haswa kuanzia msingi, si unaona namna kigae kilivyo kizito[emoji3]Wanasema ukitaka kupiga Kigae inabidi msingi uwe imara na ulaze tofali ili kuhimili mzigo wa kigae.
Nyumba walizojenga Wajerumani kwenye mashamba ya mikonge Tanga, Mtwara mpaka Morogoro vigae bado vipo na nyumba zinadunda.Tatizo mbao zikizeeka utakoma utakiamkia kigae shikamoo.
Paa utaliona hilo linapinda na kubomoa vigae
Kigae ni.kizito mbao huweza himili.mwanzoni lakini muda unavyoenda mbao hupoteza uwezo Wa kuhimili
Nyumba za vigae zinadumu zaidi maeneo ya baridi sio ya joto hata nyumba za mbao maenei ya baridi zinadumu sana
yes, kuanzia msingi unatakiwa uanze kutengeneza mazingira ya kupaulia kigae,Yaah usikurupuke kwenye finishing ukataka vigae. Msingi wa milioni 20+ kwa nyumba ya vyumba vitatu.
Nyingi zinavuja ndani mbao zimeoza nyingiNyumba walizojenga Waingereza kwenye mashamba ya mikonge Tanga, Mtwara mpaka Morogoro vigae bado vopo na nyumba zinadunda.
Mashule mengi na makanisa yaliyojengwa kwa vigae na wakoloni mengi yalishavunjika yameezekwa batiNyumba walizojenga Wajerumani kwenye mashamba ya mikonge Tanga, Mtwara mpaka Morogoro vigae bado vipo na nyumba zinadunda.
Huchelewa kupata joto hiyo ndiyo dhana. Jus la Sas sita utafikiri ulo kwenye AC. Suborn usiku sasaDada hapo mwisho umezingua
Hiyo midude ina joto hatari kipindi cha joto. Kumbuka ni udongo huo, unapata joto kwa kuchelewa na linachelewa kupoa
Ni vizito na vinahitaji mbao nyingi sana za kupaulia,gharama ya ufundi ni kubwa kulinganisha na bati,.
View attachment 1425814
Vigae vinapendeza, huvutia machoni na kuifanya nyumba ionekane nadhifu.
Vigae ni imara na havitetereki hata nyumba ikiungua moto vigae haviungui.
Vigae vina uhakika wa kukaa salama kwenye paa la nyumba kwa miaka 99.
Vigae vina punguza joto ndani ya nyumba
Tatizo watanzania tunapenda urembo hizo nyumba za vigae ni za maeneo ya baridi ni mahususi kwa maeneo ya baridi ili.kutunza joto ndani ndio maana ulaya zinapendwa sanaDada hapo mwisho umezingua
Hiyo midude ina joto hatari kipindi cha joto. Kumbuka ni udongo huo, unapata joto kwa kuchelewa na linachelewa kupoa
Fanya unachoweza na acha wengine wafanye wapenfabriek. Mbona Oysterbay nyumba za vigae bado zipo na zimekaa zaidi ya miaka 💯Tatizo watanzania tunapenda urembo hizo nyumba za vigae ni za maeneo ya baridi ni mahususi kwa maeneo ya baridi ili.kutunza joto ndani ndio maana ulaya zinapendwa sana
Mikoa yenye baridi hizo nyumba zinawafaa sana sio maeneo ya joto