Faida za kuezeka nyumba kutumia vigae

Ndiyo hiyo hiyo uliyotaja hapo...



Cc: mahondaw

Asbestos is a group of six naturally occurring fibrous minerals composed of thin, needle-like fibers. Exposure to asbestos causes several cancers and diseases, including mesothelioma and asbestosis. Although asbestosstrengthens and fireproofs materials, it is banned in many countries.

Vigae au tiles ni pure udongo uliochomwa.
 

Ahsante kwa muongozo...


Cc: mahondaw
 
Muhimu ni mbao za kenchi kuwa zenye ubora wa hali ya juu. Ni nyingi pia.
In the long run, ni cheaper kuliko kubadili bati na kenchi Mara kadhaa wakati vigae vitakuwa vile vile.
 
Muhimu ni mbao za kenchi kuwa zenye ubora wa hali ya juu. Ni nyingi pia.
In the long run, ni cheaper kuliko kubadili bati na kenchi Mara kadhaa wakati vigae vitakuwa vile vile.
Zamani walikua wanatumia mbao za mvule siku hizi mvule ni mmea unaolindwa.
 
Vigae ni my number one choice though kuna Decra ya Nabaki Africa nayo inanifikirisha, mabati labda nikwame
 
Thanks kwa elimu.
 
Jamani sioni umaarufu wa baki design ya flat ukipaa hapa bongo
je,tatizo ni mtindo haujawavutia watu,gharama za ujenzi hasa ufundi,mafundi bado hawako wa kutosheleza ndio maana nyumba hazijazagaa,au tatizo nini maana binafsi huwa zinanivutia sana.
Nje ya mada kidogo lakini Victoire
 
Kwa Bongo tatizo ni mafundi wanazikosea zinavuja sana, lkn kwa hakika zinapunguza Cost ya Uezekaji.
Back to Vigae, Kibongobongo kuezekea hizo madude lazima uwe vizuri mfukoni, kuanzia ununuzi wake, Mbao na Repaint ya kuondoa Utando wa Fungus mara kwa mara. Lkn kwa maeneo yenye Matetemeko ya Ardhi kama Kigoma,Rukwa, Kagera na Katavi msijaribu kabisa Vigae yaaani kuporomoka wakati wa tetemeko ni dkk Sifuri tu.
 
Acha kudanganya nani kakwambia vigae vibapunguza joto kwenye nyumba?
 


Only the advantages!!!??, what about the disadvantages??!


Wear barakoa against Covid 19 😷
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…