Mlinzi Shujaa_
Member
- Mar 30, 2020
- 68
- 106
Hapana, mafunzo hupatikana katika club za karate ambazo zimesajiliwa kisheria. Miskitini kwa sasa hairuhusiwi.Hivi kwa nini mafunzo yanapatikana mskitini sana.
Au nayo ilishushwa toka mbinguni kama kitabu
Nasi tunavumbua kaka .Wazungu wako bize kuvumbua AI ,sisi tuko bize na karate. ooh ccm ccm ccm!!