🪄Kwanz inaongeza confidence ya wew kujithamini na kujijali zaid
🪄 Pili inakupa aman moyon kwa sababu Kila kitu kinaanzia ndan ukiwa na upend binafsi unakua na aman ata Kam apo kabla ulifany vibay unakua na aman ya kuendelea mbel maan upendo hubeba Kila kitu
🪄 upend binasfi unavutia wengin kukupend pia hii ni kwa sabab wataamin ukijipend unawez kupend na wengin pia ko inawavutia na wao kukupend wew apa utavutia marafiki, wazaz, wafanyakazi wenzio na majiran pia
🪄Unajipatia hamasa ya kuwa karibu na Mungu, mtu anayejipend anakua na confidence ya kwend mbele za Mungu na kuelezea shida yake kwa sababu Mungu ni upend na upend wote watok kwa Mungu.
🪄 Unapata nguvu ya kusaidia wengin weny uhitajii, hii ni kwa sababu mtu yeyote mweny upendo anakua na utu ko inakua rahis kujitolea kw wengin katika mahitaj yao kwa kuwaombea, kuwapatia msaada wa chakula, mavazi na mahitaj mengine.
🪄 inasaidia kupunguza matatizo yatokanayo na msongo wa mawazo Kam vile kuwa na sonona woga hasira kali na mengine mengi kuhusu afya ya akilii maan ukijipenda unapata utulivu wa ndani na hii itasaidia mambo mengine kwenda vizur ata kam unapitia changamoto kubwa kiasi ganii.
🕊️Mpendwa Bado unanafasi kubwa sana mbele za Mungu na mbele yako pia, em jaribu kujipenda maan Mung wa baba zetu anakupenda sanaa an anajua maisha yako A to Z ko ni wajibu wetu sisi kujipenda, kujijali, kujithamini,kujithamini, kujitunza, kuwa wakwel kwetu binafsi na mbele za Mungu 🫂