Faida za kula ndizi mbivu

Mtoto wangu ana umri wa miaka miwili. Anapenda sana kula ndizi mbivu je ni sahihi kwa mtoto wa umri huo kula ndizi mbivu?
 
Nilifikiri na nguvu za kiume zipo. Teteteeeeeteeeee!!!
 
Kwenye yale mambo yetu ya kugegeda ina vichocheo vingi.
 
Kikweli siwezi kula ndizi ikiwa nzimanzima vile,lazima niikate vipande kwenye sahani ndio Nile kwa kijiti,mwanaume kula ndizi nzimanzima ni ishara ya kudharaulika

Sent From fx.991
 
Kikweli siwezi kula ndizi ikiwa nzimanzima vile,lazima niikate vipande kwenye sahani ndio Nile kwa kijiti,mwanaume kula ndizi nzimanzima ni ishara ya kudharaulika

Sent From fx.991
Hebu dadavua....
 
Ndizi Ina potassium ambayo ni electrolyte inayosaidia mapigo ya moyo pia flexibility of muscles
 
Husaidia mmeng'enyo wa chakula,kuondoa kufunga choo,ndiz inasukar ya asil isiyo na madhara ktk miil yetu.nk
Na mbona mtu akipata mvurugo wa tumbo(kuharisha) hushauriwa kula ndizi? Na kwanini watu hulia ubwabwa? Mm hula ndizi kwa kuvutiwa na muonekano na rangi yake sio kwa kupenda...
 
Na mbona mtu akipata mvurugo wa tumbo(kuharisha) hushauriwa kula ndizi? Na kwanini watu hulia ubwabwa? Mm hula ndizi kwa kuvutiwa na muonekano na rangi yake sio kwa kupenda...
Haaaaahaaa,radha yake pia husababisha kupendwa
 
Duh kumbe zinafaida sana wengine huwa tunazipenda tu kwasababu ni tamu.

-Ndumilakuwili-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…