Faida za kula stafeli (soursop)

Mambo.yale yale ya mayai ya kwale.
Bongo kuna mihemuka ya msimu .mara matango mara matikiti nabegi zake mara mbegu za maboga.

ukiona hivyo ujue kuna mkulima anataka kuuza hayo matunda
Tunarlimishana mkuu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…