Faida za kulala uchi

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Kwanini unalala uchi ?
1. Kulala bila nguo kunafanya mwili wako uwe relax pamoja na celi za ngozi kupumua haswa.

2. Kulala uchi kwa asilimia 80% huwa wanawahi kupata usingizi zaidi kwa haraka.

3. Kama unajambo lako la imani, ushirikina ulogi, kulala uchi kunachochea jambo lako kutimizika kwa haraka

4. Kulala uchi kwa baadhi ya watu hupata maluelue, ya ndoto n.k.

5. Mchawi anapologa, hupendelea zaidi watu waliovalia nguo tofauti na mtu yupo uchi sababu kumsafirisha mtu aliyeuchi kichawi ni ngumu kama aliyevalia nguo_sababu kuvua nguo inafanya usionekane kwa urahisi koo yako na ndio sababu mchawi ili usimwone sharti avue nguo na sio vaa nguo.

USSR
 
 
Hunilazi uchi hata kwa bakora.

Ghafla kutokee moto ujikute upo nje na korodani zinaning'inia.

Hapo achilia mbali vijana wa hovyo, unaweza jikuta na ute ute makalioni.
Nahisi huu ujumbe una lenga wanawake
Maana mwanamke akishaolewa tunaambiwa sharti alale uchi ili mume akitaka anakula wakati wowote maana takyo inakuwa inamgusa wakati wote😁😁
 
Siweziiii lala uchi labda niwe nimelala na mdada!


kibwagizo
Miaka flan huko kijijini Kuna Mzee mifugo yake ilivamiwa na fisi tukatoka kwenda kumsaidia.....tulimkuta kajifunika shuka la kimasai ndani hajavaaa chochote, alikua anamulika torch katika angle ambayo yy mwenyewe vitendeakazi vyake vinaonekana alikuja kushtuka baada ya sisi kucheka sana
 
Hunilazi uchi hata kwa bakora.

Ghafla kutokee moto ujikute upo nje na korodani zinaning'inia.

Hapo achilia mbali vijana wa hovyo, unaweza jikuta unaamka na ute ute makalioni.
Unalala sehemu ambazo wewe ni sungura halafu kuna fisi lazima uliwe. Badili mtazamo, kuwa simba wanaokuzunguka wawe fisi otherwise ni suala la muda tu fisi watajua yupo sungura humu anaogopa kuliwa na anajilinda kwa kuvaa manguo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…