Faida za kumeza (shahawa) kwa mdomo wakati wa kufanya mapenzi

MorTimer

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
1,195
Reaction score
968
SHAHAWA ZA (KIUME) ZINA FAIDA NYINGI KIAFYA KWA MWANAMKE

Kumeza shahawa kupitia mdomo wakati mnapofanya mapenzi kutakusaidia uweze kupata usingizi mzuri usiku kwasababu biochemically, Shahawa zina homoni ya Melatonin ambayo inamsaidia binadam kupata usingizi.
.
Shahawa pia zina homoni ya Thyroliberin (thyrotropin-releasing), zina #5-hydroxytryptamine, pamoja na homoni ya Cortisol (Steroid) iliyomo kwenye Spermatozoa; ambazo kwa pamoja zinafanya kazi ya kupambana na Msongo wa Mawazo (stress), kurekebisha Metabolism, kuchangamsha akili, kukufanya uwe na ngozi nyororo na ya kuvutia, lakini pia kuongeza upendo na kupambana na Depression!

Wakikuambia uchafu wapuuze..Nawatakia zoezi jema wanawake mjitahidi kumeza...!!
 
Pia ikipakwa usoni au sehemu yoyote ya mwili kwa ujumla hulainisha ngozi na kufanya iwe nyororo zaidi, ndio maana ngozi ya kei ni nyororo zaidi.
 
Hizo majamaa zikiwa zinapita njia ya chakula hazimeng'enywi? Je zinabaki kama zilivyo au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…