Faida za kumiliki hisa za Vodacom

Ukweli no upi manake hapa tunaelimishana? Financial consultant ni sawa brokers

"BROKER" is a businessman who buys and sells for another in exchange for a commission.
Mkuu broker ni mshauri ambaye anafanya kazi kisheria. Miss-leading ni moja ya makosa yanayoweza kumkosesha leseni.
 
sina ufahamu wewe te kwa hii ishu sorry huwa lets say una hisa 100 unaweza kuwa na makadirio ya bei gani kwa mwaka?
 
Nanunuaje hisa zenu maana mi mgen hapa kwenye hisa
 
nini kinaendelea kwenye hizi hisa za vodacom,na vipi hisa za voda ni tsh ngapi kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…