Faida za kunywa gongo hizi hapa. Ukinywa bia huzipati ng'o!

Kanywe ww mkuu
 
Konyagi na gin ni Congo zilizopimwa, sasa hizo hazitoshi , mpaka tuongeze na hizi za uchochoroni ? Mheshimiwa rais ni mtu mkubwa sana kwenye jamii. Tamko lake ni amri katika nchi, kwa maana ana wajibu mkubwa sana kuchunga kauli anazotoa kwa jamii. Alipoingia madarakani alisema polisi kuhongwa 10000/_ sio rushwa ni hela ya vocha tu. Lakini kuna mtanzania anakoroga zege kutwa nzima malipo yake 7000/ tu. Pia wakata miwa wanalipwa 135000/ kwa mwezi. Madhara ya kauliile yake polisi FFU walijigeuza kuwa Traffic watu walikamuliwa sana kwenye pikipiki hadi mwaka huu ndio wamepumzika labda kwa sababu tunakaribia uchaguzi. Sasa na gongo nalo tena anatoa tamko la hivi tena ? Hapana, mhe. ana mambo ya maana kutolea tamko kuliko gongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kudanganya njoo kitunda uone jinsi gongo inavyo tengenezwa katika mazingira machafu, mapapai mabovu jumlisha nguo mbovu yaani kila aina ya mikorokoro inawekwa ndio maana gongo kama hijanzimuliwa inawaka moto ukiwasha.
Sisi yakwetu inayotengenezwa kwa lubisi iko poa sana
 
Acha kudanganya njoo kitunda uone jinsi gongo inavyo tengenezwa katika mazingira machafu, mapapai mabovu jumlisha nguo mbovu yaani kila aina ya mikorokoro inawekwa ndio maana gongo kama hijanzimuliwa inawaka moto ukiwasha.
Mm nnaekwambia apa nna uhakika 100%
Gongo ziko za aina nyingi mkuu
Nnayoijua mm inatengenezwa kwa sukari& maji & amira
Tena sukari kilo 10.20 mpaka50
Wanakunywa watu wako smart
Hio unayoisema ww ya kwenu uko kitunda.
Zipo nyingi uko masasi iko Nipa inatengenezwa na mabibo ya korosho
Hapa hapa dar iko inaitwa Ukawa inatengenezwa na chemical za kutengenezea konyagi wanacjanganya na maji hio ndo inaua inazorotesha watu haina harufu yoyote inapausha ni kali kupita maelezo afu bei rahisi. Wapiga dili wanapewaga mapipa mazima kutoka kiwandani. Chupa ya lita moja inatengeneza dumu zima afu kali

Mkuu wangu mm izo vitu nazijua since 2000 nna uhakika na nnachokisema 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa kunielewesha mpendwa sorry kama nimekukwanza mkuu
 
Acha kudanganya njoo kitunda uone jinsi gongo inavyo tengenezwa katika mazingira machafu, mapapai mabovu jumlisha nguo mbovu yaani kila aina ya mikorokoro inawekwa ndio maana gongo kama hijanzimuliwa inawaka moto ukiwasha.
Yes...ukipiga kiberit inawaka moto!
Kwanza toka lini mlevi akawa mtu wa maana bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...sema binadamu sisi ni wanafiki sana!

Ukishaingia kwenye kilevi chochote kwisha habaree yako...period!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina swali :Mtumia gongo na mvutaji bangi,nani kati yao jamii inamchukulia negative zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…