Fuqin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 306
- 625
Niaje?? Faida za kuoa mke mzuri wa kawaida ambaye sio mzuri saana ni nyingi sana ila mimi naleta moja tu... mukizinguana na wewe unamzingua kwa sbb hujamuweka sana moyoni unatafuta goma lengine fast hakutii stress... Sasa wewe oa mke mzuri sana kama hawa kina Uwoya sijui kina soncha halafu akikuacha ukajinyonge!!! Ova!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app