Huta lala na stress,akikutibua huyu unaenda kujituliza kwa huyu.
Watakuheshimu,hawatakuringiaringia.
Watashindana kukuonesha upendo.
Watakuzalia watoto.kwa ajili kuendeleza kizazi cha binadamu.
Watakuongezea ndugu/mashemeji.utaheshimika kwao.
Ila ni kwa wake tu sio michepuko.
Faida zipo nyingi kuliko hasara.