Naona ilikuea njia moja ya kuwapa wajeshi fursa ya kutembea na dada zenu tuu. Maana ilifika hatua dada zenu kufanyiwa hadi vyooni. Au hamkujua hili??? Ukaka mavu hata nyumbani unaweza kuupata ukitaka. Unaweza ukawa umerudi mlokole jina tuu.
Wadada waliokuja vyuo mwaka jana niwepesi kweli kuvua vyupi, kupeleleza tukaambiwa wametoka JKT na hako katabia. Ngoja tuone wa mwaka huu.
baba SRA 56 meiandika goma hili range (shabaha) ilinizingua sana na porin ni noma ni nzito balaa
Naona ilikuea njia moja ya kuwapa wajeshi fursa ya kutembea na dada zenu tuu. Maana ilifika hatua dada zenu kufanyiwa hadi vyooni. Au hamkujua hili??? Ukaka mavu hata nyumbani unaweza kuupata ukitaka. Unaweza ukawa umerudi mlokole jina tuu.
So what?, wameenda wamerudi wachovu tu,afya dhoofu,wametushwa na wanaogopa migomo,matusi yamezidi mitaani,kuna Dada zetu wameharibiwa huko,hizi ni faida au ujinga
aliepost babake n CO dats haijielew najuta mdogo angu kwenda mtoto wa kike kawa hana haya mitus kwake kawaidah tu ova kabakwa dah
ebhu taja walau hasara 5