R Rohongumu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2013 Posts 433 Reaction score 83 Oct 25, 2014 #101 hakuna faida yoyote zaidi ya kupoteza muda tu.
MARCKO JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 2,258 Reaction score 275 Oct 25, 2014 #102 Na hebu nambie inafaida gani kua na nidhamu ''mjeda'' wakati unafahamu kunayo wahuni walao rushwa!.
Mr. Mangi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2014 Posts 1,514 Reaction score 768 Nov 7, 2014 Thread starter #103 MARCKO said: Na hebu nambie inafaida gani kua na nidhamu ''mjeda'' wakati unafahamu kunayo wahuni walao rushwa!. Click to expand... hasa itakuaje kama wote tukiwa wala rushwa
MARCKO said: Na hebu nambie inafaida gani kua na nidhamu ''mjeda'' wakati unafahamu kunayo wahuni walao rushwa!. Click to expand... hasa itakuaje kama wote tukiwa wala rushwa
Mr. Mangi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2014 Posts 1,514 Reaction score 768 Nov 7, 2014 Thread starter #104 Rohongumu said: hakuna faida yoyote zaidi ya kupoteza muda tu. Click to expand... so hizo hapo juu nazo nn?
Rohongumu said: hakuna faida yoyote zaidi ya kupoteza muda tu. Click to expand... so hizo hapo juu nazo nn?
Mr. Mangi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2014 Posts 1,514 Reaction score 768 Nov 7, 2014 Thread starter #105 Rohongumu said: hakuna faida yoyote zaidi ya kupoteza muda tu. Click to expand... so hizo hapo juu ni nn?
Rohongumu said: hakuna faida yoyote zaidi ya kupoteza muda tu. Click to expand... so hizo hapo juu ni nn?
N NJALI JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 1,534 Reaction score 1,090 Nov 8, 2014 #106 kweli ukimaliza chuo uje ujiajiri mtaani na gamba lako la JKT. kweli JKT ni waadilifu sana hata vigogo wetu ni waadilifu kwa kuwa karibu wote ni wajeda
kweli ukimaliza chuo uje ujiajiri mtaani na gamba lako la JKT. kweli JKT ni waadilifu sana hata vigogo wetu ni waadilifu kwa kuwa karibu wote ni wajeda
A alexmagai New Member Joined Nov 7, 2014 Posts 2 Reaction score 0 Nov 8, 2014 #107 Navoelewa kila kitu kina faida na hasara je mbna amutuambii hasar za kupitia jkt