Sasa mkuu ukila chungwa kila siku,, ukiona ndimu utadhani nayo ni tamu kama chungwa. Ila ukionja hiyo ndimu ndipo utaliheshimu sana chungwa la kila siku. Waswahili wanasema kusaliti ni kama kulamba shubiri,, bila kuionja unaweza kudhani ni tamu lakini utakapoonja na kubaini ni chungu siku nyingine huwezi kurudia kulamba.Kwanini utoke nje ya ndoa!
Unachokitafuta huko ni nini haswa?
Mimi binafsi sioni faida yoyote!
Ndio maana unashauriwa umalize kila kitu kabla ya kuingia kwenye ndoa!Sasa mkuu ukila chungwa kila siku,, ukiona ndimu utadhani nayo ni tamu kama chungwa. Ila ukionja hiyo ndimu ndipo utaliheshimu sana chungwa la kila siku. Waswahili wanasema kusaliti ni kama kulamba shubiri,, bila kuionja unaweza kudhani ni tamu lakini utakapoonja na kubaini ni chungu siku nyingine huwezi kurudia kulamba.
Kwanini tena AshaDii?Hizi topics.... mtihani kwa kweli.... Dah!
Katika dini ama kabila na jamii zingine bikra ndiyo kigezo cha kuolewa,, sasa hayo mambo utayamaliza lini na wapi?Ndio maana unashauriwa umalize kila kitu kabla ya kuingia kwenye ndoa!
Test kila aina!! Ukishaingia nunakuwa huna ulichokiacha nyuma!
Katika dini ama kabila na jamii zingine bikra ndiyo kigezo cha kuolewa,, sasa hayo mambo utayamaliza lini na wapi?
1. So you are part and parcel of it?????Naamini kila jambo lina faida na hasara zake. Lakini je kutoka nje ya ndoa kuna faida zipi hasa? Na hasara zake ni zipi? Pekee ninalolijua miye kwa personal experience, inasaidia sana kumheshimu mume/mke wako baada ya kukutana na matakataka mengi huko nje!
Nawasilisha
Halafu wewe ulikuwa wapi???hakuna faida zaid sana kuna hasara.
Kwa mtaji huu I might as well stay unmarried forever!
Ilikuwa zamani, sasa hivi mambo yamebadilika!! Mwanamke bikira utamtatia wapi? Labda za kichina!Katika dini ama kabila na jamii zingine bikra ndiyo kigezo cha kuolewa,, sasa hayo mambo utayamaliza lini na wapi?