Faida za kutoka nje ya ndoa

moto wa milele.

Unajua maana ya neno faida?

nyingi ni hasara kwa kweli tulia na mkeo/mumeo uliyemchagua

Sikubaliano na hapo kwenye red. mke akitoka nje akakuta jamaa anasugua kama ana pepo vile, unafikiri atakuheshimu wewe unayesugua kizee? Au mmeo akitoka nje akakutana na mwanamke anayejua kuzungusha na kukamua kisawasawa, si atakuona wewe takataka. Hii ishu msichukulie kishabiki ongeleeni ukweli wa mambo.

Faida yake. Mwanaume, Ukitoka nje ukakuta kitu mwaaaa, utamnunulia nyumba.
Hasara yake. Utamuacha mkeo

Unajua maana ya neno faida?

Faida maana yake ni Hasara uliyoamua kuhalalisha kwa manufaa yako binafsi. Kama vile kuwanyonya walalahoi kwa kuongeza bei zaidi ya manunuzi. Daladala wanapoamua kupandisha nauli jioni bila sababu za msingi.. Pia mdau wa hapo juu aliyeamua kuuliza swali ambalo anajua 110% unapata hasara..basi kumsadia tumempa baadhi ya hasara ambazo anaweza kuziona faida kwa upande mwingine.. lakini hasara itabaki hasara!

faida zipo,we tafuta m/mke mwenye chapaa,utazaa nae na watoto ni wa baba,hata kama ni fukara,hizo hasara za sasa zitakuwa neutralized kwa hili!!!

Mtoto ni wa baba??????

Ndio maana unashauriwa umalize kila kitu kabla ya kuingia kwenye ndoa!
Test kila aina!! Ukishaingia nunakuwa huna ulichokiacha nyuma!
Je kwa wale waliokuwa mageti makali mpaka wanoa ama kuolewa huo uzoefu wataupata wapi?

Mkuu! Naunga hoja yako mkono kwa 100%.

Kwa kweli hakuna faida zaidi ya kuuawa!

Marahemu mtarajiwa!

Hivi, NDANI ya ndoa ni wapi? Na, ndani ya NDOA ni wapi?

ndani ya NDOA ni kule kuiheshimu ndoa yako na kumfanya ulienae kuwa kama wewe, humsaliti, etc
Lakini NDANI ya ndoa ni kuitwa mwenye ndoa lakini huijali ndoa yako, we unakuwa msaliti na mengineyo.

Nje .........ndaNI.....................NJE NDANI!

Utu wako unapotea, kama mwenzi ni mwema! Utu wako uanrudi kama mwenzi wako ndio waleeeeeeeeeeee!

Aliyetoa hii thread tufanye mpango tumemegee mkewe/ mmewe ili akirudi aweze kumheshimu. teh teh teh

ukimwi upo tutwazika kama tamaa hamzishindi hakuna faida bali ni hasara kwa kwenda mbele rizikeni na mlicho nacho utatamani leo ukishakutananaye uanaona nia afadhali yule huwezi tulia angalie wanaofanya hivyo hawatulii na mmoja

Lizzy una mtazamo wa kidumedume! Au ulishachoshwa na maswala ya mahuiano nini?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…