Ayatollah the Bird
JF-Expert Member
- Jul 30, 2026
- 314
- 682
Hasara ni nyingi kuliko faida, unakuta mtu kapauka uso Hauna nuru kabisaNa hasara zake zipo pia
Hapana faida ni nyingi kuliko hasaraHasara ni nyingi kuliko faida, unakuta mtu kapauka uso Hauna nuru kabisa
Hehehe uongoHapana faida ni nyingi kuliko hasara
Shusha na hasara zake Mkuu😀1.Hakuna usumbufu 2.hakuna stress 3.upo huru 5.hauta pata majukumu 6.hakuna maradhi 7.unaish bila mawazo
Inategemea basi ntu na ntuHehehe uongo
8.Kukwea mnazi kwa mwanamme na kwa mwanamke tango/dildo/karoti1.Hakuna usumbufu 2.hakuna stress 3.upo huru 5.hauta pata majukumu 6.hakuna maradhi 7.unaish bila mawazo
Wandugu tusipokuwa makini tutapoteza mpambanaji hapa, hebu Kuwa muwazi dogo usaidiwe kabla The Mambas hajakufikia...1.Hakuna usumbufu 2.hakuna stress 3.upo huru 5.hauta pata majukumu 6.hakuna maradhi 7.unaish bila mawazo