Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Nipo safarini Dar nimepata hotel moja mitaa ya Kinondoni, Tangu saa saba usiku kuna vurugu zinaendelea chumba cha pili Mmwanamke kavua zote kasoro chupi anasema hata iweje hiyo havui na kama jamaa anataka basi atamsogezea tu kidogo aingize lakini chupi hatavua
Nimejikuta tu natabasamu baada ya kuwaza ni chupi ya aina gani hiyo ya kusogezewa tuu? au ni zile chupi kamba? Unajua zamani hizi hazikuwepo zamani zilikuwepo zile ambazo ukitaka uone makalio ni lazima uzishushe (Sio makalio tu kumbuka) lakini hizi za siku hizi unaanza kuona kalio na ukitaka kuona chupi basi shurti ufunue kalio. Yaani ulibabatue kwa mikono miwili.
Pengine huyo demu kavaa ya jinsi hii wenyewe wanaita g-string no offense ukitaka tu kinavutwa pembeni hakuna kuvua
Tukio hili limenifanya nitafakari faida na hasara za kuvaa chupi. Nikagundua kuna post imeshazungumzia hasara za kutovaa chupi nikasema ngoja mimi sasa niandike faida zake;
1.Haina faida kwakuwa hata uvae ama usivae hakuna atayejua mpaka yule atakayekufunua ama utakayemfinulia
2. Kiuchumi chupi haina faida yoyote zaidi ya kuongeza gharama na matumizi ya ziada.
3. Kiafya usipofua vizuri ama ukivaa chupi chafu kama usiponuka basi itakuletea magonjwa vile vile kuna baadhi ya material husababisha mzio wa ngozi, kuwashwa na harara chupi inapobana sana hasa kwa wanaume huzuia uume kukua katika kiwango kinachoyakiwa, baadhi ya chupi husababisha uume kupinda (VIP) na pia husababisha vibamia
4. Kijamii hapa kuna watu huchelewa kufanya yao kutokana na hizi chupi yaani kuvua tu mpaka muweke kikao hii inaweza kusababisha kukosa hamu ya tendo na hatimaye uhaba wa watoto
Kulikuwa na aina za chupi maarufu kama VIP zilikuwa na tabia ya kukatika katikati na kupanda hadi tumboni. Watu wameumbuka sana hapa hali hii imewatia simanzi wengi lakini pia kama si mzoefu wa kuvaa unaweza kwenda kujisaidia bila kuvua kuna mmasai iliwahi kumtokea hii baada ya kumaliza anaangalia chini haoni kitu kumbe zigo liko kwenye chupi. Unapokuwa na tumbo la kuhara pia chupi sio vazi zuri sana
5. Kiafya namba mbili ni kwamba unapoyaachia maungo yako yakawa huru bila kubanwa na chupi hasa usiku basi hewa hupenya vizuri mwilini na mzunguko wa damu huenda vizuri
6. Kijamii namba mbili. Haishauriwi wanandoa ama wapenzi kulala na chupi hii husaidia sana kutiana hamu na kwenda moja kwa moja eneo la tukio bila vikwazo vingi ngozi kwa ngozi zinapogusana bila kitenganisho katikati msisimko huongezeka. Kuna wakati magomvi kwenye mahusiano husababishwa na kulala huku umevaa chupi.
Kwahiyo ndugu zangu hili vazi ni kitu cha ziada tu mwilini kisicho tija yoyote. Naona chumba cha pili ni mambo yamekuwa pouwaaaaa... Kinachosikika sasa ni KWICHI KWICHI hatari. [emoji298] [emoji23] [emoji298] [emoji23] [emoji298] [emoji621] [emoji621] [emoji621]. Kama umeivaa saa hii vuaa. Tyupa kulee. Its time for morning glory.