Faida za kutovaa nguo ya ndani

Nimeshindwa kuwaelewa wale mnaosema hamvaagi makufuli,

Naomba mnijibu hamvai muda na mahali pote au mnapokuwa mazingira fulani tu?

Hivi mtu unaweza kutoka nyumbani kwenda mahala fulani ukiwa uchi hujavaa chupi kweli jamani?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…