Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,064
Hello wana Chit chat,
Nipo mapumzikoni na nimeona nipumzike kidogo na nipo kistarehe zaidi. Nafikiri hapa ndipo kwenye jukwaa halisi la kupata burudani ya kila aina.
Nilikuwa nafikiria kwa sauti faida mtu anazipata akiwa mtoto wa kigogo. Aisee nimeshangaa najifurahia mwenyewe! Mzazi wako akiwa kwenye nafasi kuna faida nyingi unazipata automatically kiasi kwamba wengine wanaambulia patupu!! Unaheshimika na kila mtu kwa nafasi tu ya mzazi wako! Husumbuliwi popote, unakuwa na access ya kila mahali, msaada unaupata popote na kama mtu hakujui unajitambulisha tu kwa jina la mzazi na kila kinakuwia bwerereee!
Ushauri wangu, tupigane tuwe vigogo aisee ili wanetu na vizazi vyetu vifaidiiii!! Kama hujaanza, anza sasa!!