Faida za kuwa mtoto wa Kigogo!

Rejao

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Posts
9,219
Reaction score
4,064
Hello wana Chit chat,
Nipo mapumzikoni na nimeona nipumzike kidogo na nipo kistarehe zaidi. Nafikiri hapa ndipo kwenye jukwaa halisi la kupata burudani ya kila aina.

Nilikuwa nafikiria kwa sauti faida mtu anazipata akiwa mtoto wa kigogo. Aisee nimeshangaa najifurahia mwenyewe! Mzazi wako akiwa kwenye nafasi kuna faida nyingi unazipata automatically kiasi kwamba wengine wanaambulia patupu!! Unaheshimika na kila mtu kwa nafasi tu ya mzazi wako! Husumbuliwi popote, unakuwa na access ya kila mahali, msaada unaupata popote na kama mtu hakujui unajitambulisha tu kwa jina la mzazi na kila kinakuwia bwerereee!

Ushauri wangu, tupigane tuwe vigogo aisee ili wanetu na vizazi vyetu vifaidiiii!! Kama hujaanza, anza sasa!!
 
Nikafikiri mshoriii.
Faida nyingine pia ni kuwa malighafi ya kutengeneza mkaa
 
Rejao nadhani unaongelea kigogo wa ugogoni (sio DODOMA) kulekule mulemule uzitoni. Suala hapa ni kuwa kila mtu akiwa mkigogo nani atakuwa mwepesi? Anyway ngoja wazito waje watoe mwongozo wa kizito wa kiugogoni. Btw mbona Mwl Nyerere hakuwa KIGOGO???
 
Last edited by a moderator:
Ukimpata binti wa kigogo akupende! Afu wazazi wanakataa
 
Afu jana nilikuona gizani pale kona. Hivi unatumiaga zana, ama watoto wa vigogo hampati ukimwi!

Unakumbuka nikakwambia pande hizi hazifai.
Ila ilikuwa hatari....unakumbuka Paw alikupigia ukamwambia upo maandamano ya wana IFM!!
 
Kusamehewa na hata kuiweka nchi rehani unaposhikwa na kilo kadhaa za zigo la unga huko u-china.
 
asee ujaacha tu kutema pumba
 
Afu jana nilikuona gizani pale kona. Hivi unatumiaga zana, ama watoto wa vigogo hampati ukimwi!
of course!! chezeya nguvu ya pesa sister. hata ukitaka 3some kama unapata. the best perk ni pale unavyochosa mdada na kumuonesha kwamba sie tunaweza 90mins kama wakaka wa 'uswahilini'
 
Hahahaha, aminia braza.
ila hapo kwenye 90 mins sio kweli. Vitoto vya uswazi vimekaukia ila vina pumzi kama za kugombea daladala la mbagala:nimekataa
of course!! chezeya nguvu ya pesa sister. hata ukitaka 3some kama unapata. the best perk ni pale unavyochosa mdada na kumuonesha kwamba sie tunaweza 90mins kama wakaka wa 'uswahilini'
 
Umeanza urongo wewe! Wakati nakuona Paw ndo alikuwa kanishikilia mkono (read: kiuno:mwaaah::mwaaah🙂
Unakumbuka nikakwambia pande hizi hazifai.
Ila ilikuwa hatari....unakumbuka Paw alikupigia ukamwambia upo maandamano ya wana IFM!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…