Faida za kuwa mtoto wa Kigogo!

Hivi mpaka awamu hii ...bado kuna vigogo tu mkuu...hahaha
 

Utaisoma namba
 
Usinishangae mimi mshangae ngabu. Yupo active tangia jambo forums
Ni vizuri lakin....huwa nasoma views zenu na nafurahi kuona bado mnasongesha mbele jamiiforums.
 
Faida ya kuwa mtoto wa kigogo. 1Virahisi sana kupata Ajira. 2kuendesha Miradi ya Mzee. 3 unakuwa upo kwenye system. 4Virahisi sana kwenda kusoma abroad (kupata Visa). 5 Hakuna kusumbuka utalisi jimbo au cheo kwenye chama. 6Bonga saba. 7 kupewa nafasi nyeti. 8Kuendesha au kumilika dinga ya maana. 8In short unaenjoy sana lifee

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu uko sahihi
Si unaona Le Mutuz anavyotesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…