Wee jamaa wewe Mungu akubariki sanaHahaha ni kweli kabisa mkuu..
Na wewe pia Mungu akubariki mkuuWee jamaa wewe Mungu akubariki sana
Toa zako za mashiko boss tuzione bossFaida Hazina mashiko kiivo
Unaweza kunywa bia huku ukuwa uchi?unakuwa free sana kama ndege!
yeh,, teh,,, teh,, teh!!!Faida nyingine umesahau pesa zako zinakuwa hazipotei bure no kuhonga
Ila kuikwepa CHAPUTA ni mtihani sana