Iweje The Boss apende maharage ya mawese alafu we ukapende hayo ya nazi? Au tunachanga vyote?
Klorokwini that mind of yours..... Dah! Tunashukuru bana na Ole wako Maharage yapande!
Nitaipress serikali ili hii sredi yangu iingizwe kwenye katiba mpya, yaani wiki 2 naiandaa, kumnyima waifu unyumba wiki 2 kwa ajili ya kuandaa sredi si mchezo Ashadii.
Inauma sana
Hahahahaha lol! usisikie mkuu tena uwe wali wa nazi πππ na mchele wa kunukia halafu pembeni kuna ndizi mbivu
Hehehehe uchafuzi wa hali ya hewa.
Japo sio kila mara/kila mtu.
Kama itapandisha mzuka usiitaje, azawaizi lipuka tu bana, au ni ile ya gesi asilia?
aisee mimi hiki ndicho chakula changu cha namba mojai!! Ukitaka kuniwekea limbwata niwekee tu kwenye ubwabwa mahage!!!Hehehee, wabongo wasivyopenda maharage. Acha sie tuliozoea tuendelee kufaidi.
roysambu ndio nini? Nalog offwe utakua roysambu....
Hiyo curiousity yako mbona ni suicidal? khaaaa!Kama JF Lawyer maarufu hapa (hata kama Boss kasema sio genuine) naamini mikiki yako itawezeshesha iingie kwenye katiba... (Ila tu hapo ya kumnyima wife unyumba)..... -Curious- Kumnyima ina maana hio kitu hukupata kabisa ama tu hukupata toka kwa wife?
πoakudadeki, kuanzia sasa nikikaa bar ntakuwa natembea na hotpot langu, ni mwendo wa bia kwa maharage
:shock:Ww hujui kuna watu wakichafuliwa hali ya hewa ni ishara ya upendo? Unaweza kuchafua hali ya hewa mbele za watu? FF alishakataza akasema ni dhambi!
Haya yote yanasababishwa na jukwaa la siasamaharage yenyewe kilo sh 2000! Na yanazidi kupaa wengine tutaishia kula mchicha. Maharage anasa
πoaNatumia sana maharage ingawa hapa karibuni niliyapenda zaidibaada ya kusoma article kwamba maharage yanaongeza zinc na madini mengine muhimu yenye kufanya sperms ziwe nyingi, zenye nguvu na uhai wa kutosha.
heheeh huyu ndo fellow tablet banaHuu utabibu wa my fellow kidonge machale yananicheza
Mpaka nipate clarifications toka kwa Mzizimkavu.....
Huyu kidonge anaweza kuwa ana mpango wa kutaka tuwe tunaachia ushuzi mbele ya kina King'asti.... Babu yangu alishawahi kunihasa, ni heri uachie ushuzi mbele ya mkeo kuliko mbele ya watoto au nyumba ndogo.
Nazani smile amekusoma hapaaisee mimi hiki ndicho chakula changu cha namba mojai!! Ukitaka kuniwekea limbwata niwekee tu kwenye ubwabwa mahage!!!
:shock:Mjiandae pia kwa ushuzi hasa nyakati za usiku!tehetehe ukitaka jua kero za maharage,chelewa kidogo kulala,then msikilizie mwenzako aliyekula maharage akiwa usingizini!Mabomu ya ushuzi hasa wa maharage mabichi,mh!utahama chumba.
Nimeyala sana skuli ,kila nikiwaza tena kuanza kuyatumia kama tiba mbadala nahisi kuumwa ..
mkuu na wali wenyewe ukiwa wa nazi, duh we acha tu.hivi kuna mbongo asiependa wali na maharage?
sidhani aisee