Ni mara nyingine ya mwaka 2026 tunakutana katika kuendeleza kupeana elimu ya Namna ya kujipatia tiba kwa njia ya asili
Leo nitaeleza majani ya mti wa Amla ya tz ni Maarufu sana kutokana na kuwa na uwezo mkubwa wa kutibu magonjwa mbali mbali yanayo wasumbua watu wengi
1=Watafiti na baadhi ya wazee wengi wa kitanzania waligundua kuwa majani ya Amla yana uwezo mkubwa wa kuondoa kiungulia na kuzuia kutapika
1=Unga wa majani ya amla yana vitamini C na yana sifa nzuri ya kuzuia kuzeeka vitamini C ni anti oxidant ambayo lnaweza kusaidia kuzuia uharibifu wa seli ambayo lnaweza kusaidia kupunguza kasi ya mchakato wa kuzeeka mwili wako
2=NYWELE> unga wa majani ya amla ni dawa nzuri ya kufanya nywele zako kuzifanya zirefuke kwa kasi, hudumisha rangi ya nywele, huondoa kabisa mba na aina zote za muwasho kichwani na huondoa upara na mvi
3=KANSA Unga wa majani ya amla yana uwezo mkubwa wa kuua aina fulani za seli za kansa ikiwa ni pamoja na saratani ya matiti, shingo ya kizazi , ovari na mapafu dawa hii ni lazima uchanganye na majani ya dawa nyingine
4=Unga wa majani ya amla hutibu sana kisukari cha aina ya 2 na baadhi ya mimea fulani huu ni utafiti wa wazee wa kitanzania vijijini
5=Ukinywa chai ya majani ya Amla ya kijani lna antioxidant kubwa amnayo lnajulikana kama kiwanja cha uponyaji wa mwili
6=Majani ya mti wa Amla ni dawa ya miujiza ya ngozi na nywele na nchi nyingi duniani hutumia haya majani kama thailand, india, na baadhi ya nchi za kiafrika