Habari zenu, nliwahi kusikia watu wakiongea kwamba maji ya bahari yana faida kiafya ukiogelea na pia Nimeona watu wakihangaika kuchota na vibubu vyao. Je kuna matumizi yake spesho?
asante kwa maelekezo @MziziMkavu@maji ya Bahari ni dawa kila maradhi wewe kama upo Dares-Salaam fanya kila mwezi uwe unakwenda kuogelea baharini hata mikosi mikosi ya mwilini mwako itakuondokea ukioga maji ya bahari yana siri kubwa sana hata waganga wa kienyeji wanayatumia maji ya bahari.
Maradhi ya ngozi ukiwa nayo wewe kaoge maji ya bahari maradhi mengine ni siri yangu sio kila kitu ninaweza kukiweka hapa mkuu samahani.asante kwa maelekezo MziziMkavu
kwa hiyo to be specific maradhi ya mwilini yanayoweza kushughuliwa na maji ya baharini ni yap?
Sasa mkuu kwa nini ufanye siri mkuu, tufumbue macho na sisi tupone mkuuMaradhi ya ngozi ukiwa nayo wewe kaoge maji ya bahari maradhi mengine ni siri yangu sio kila kitu ninaweza kukiweka hapa mkuu samahani.
Akitoa jibu nijulisheMziziMkavu asante kwa somo;
Naomba tu hayo maradhi ya siri yako ili tushare.
Maradhi ya ngozi ukiwa nayo wewe kaoge maji ya bahari maradhi mengine ni siri yangu sio kila kitu ninaweza kukiweka hapa mkuu samahani.