Faida za Majina ya Mungu yaliyotumika kuumba na kauli zenye nguvu na Maajabu yake ya hali ya juu


Majina mengine ni haya

Arthan, Thaadas, Caudas, Yalchal, Formione, Guth, Maguth, Guth[r]yn, Iammax, Carmox, Ycanol, Pasfrau, Sarabocres, Nassar, Cynassa,Alpha & Omega, Agla



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mleta uzi mburura tu Kama mburura wengine, haiwezekani uzi una miezi na miezi lakin hakuna LOLOTE la maana aliloweka wazi.

Ukizngua nakuumbua

ARUSHA KWETU
 
BAADHI YA MAJINA NA KAULI ZA MWENYEZI MUNGU ZILIZOTUMIKA KUUMBA
Mungu ana jina moja tu nalo ni "YESU" hayo uliyoandika sio majina ni SIFA(VYEO) au kwa kiingereza wanasema Title. Na Vyeo vyake vingine sijui umeokota wapi kwa maana hata katika maandiko havipo umejiandikia tu mtu wa watu baada ya kushiba maharagwe
Kwa undani zaidi mfano tunamuita Mungu Baba ,neno baba ni sifa limebeba maana na maana yake ni Muumba wa vitu vyoote ndiomaana ana sifa ya BABA,Vingine ulivyoandika havipo kwenye biblia na vitabu vingine vya dini so ni uchafu tu umeuropoka hapa
 
lazi uumbaji ni nn kwanza?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta uzi mburura tu Kama mburura wengine, haiwezekani uzi una miezi na miezi lakin hakuna LOLOTE la maana aliloweka wazi.

Ukizngua nakuumbua

ARUSHA KWETU
Rejea kuusoma tena vizuri mkuu, nini maana ya mburula?

Rakims
 
Kawaida ya mtu hujielezea mwisho muhusika mwenyewe haya uliyoyasema yanaonesha kiasi gani ni mtoto mdogo katika hata kile unachokipigania,
Hata wagalatia wenzio wataona umeandika pumba maana kama mungu wako anajina moja inaonyesha hata kumjua humjua umequote pumba hii mada ipo kwenye jukwaa gani kumbuka.
Acha akili za kitoto.

Rakims
 
Mkuu Unawapa elimu ya chuo Kikuu vijana wako hongera sana wape elimu nzito sana ambayo sio rahis mtu wa kwaida kuijuwa hiyo elimu. Waelimishe wajuwe kuwa elimu ni bahari kubwa sana.
 
Mkuu Unawapa elimu ya chuo Kikuu vijana wako hongera sana wape elimu nzito sana ambayo sio rahis mtu wa kwaida kuijuwa hiyo elimu. Waelimishe wajuwe kuwa elimu ni bahari kubwa sana.
wewe pia huw sio mchoyo wa maarifa umenifunza mambo mazito sana ,nami nimewafunza wanaonizunguka pia.Kuna kitu skumbuki alifundisha Rakim juu ya kushinda bahati nasibu kuna maneno nimeyasahau ,nikajaribu asee nilishinda laki 4 ,toka hapo sikutumia tena kuna mtu alinambia umetumia jini huwa yana ghalama kubwa sana ikiwemo uhai wa wanao afya etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…