Faida za Majina ya Mungu yaliyotumika kuumba na kauli zenye nguvu na Maajabu yake ya hali ya juu

Mkuu Unawapa elimu ya chuo Kikuu vijana wako hongera sana wape elimu nzito sana ambayo sio rahis mtu wa kwaida kuijuwa hiyo elimu. Waelimishe wajuwe kuwa elimu ni bahari kubwa sana.
Ndio mkuu,
Wengi wao wapuuzaji tu hawaelewi wanaona moshi moshi na uchawi chawi

Rakims
 
Hapana mkuu ile hauiti jini wa kukaa na wewe kwa madai mkuu nafundisha vitu salama sana

Rakims
 
Anything you do or say! its for yourself! Karma will find you!
Rakims
 
Asante mkuu, uzi umejitosheleza sana ila tu kwa sisi wakristo kwa mujibu wa kitabu chetu kitakatifu BIBLIA, AGANO JIPYA tumepewa jina moja kuu lipitalo majina yote (sijui kwanini Mungu aliamua hivyo).
Jina hilo ni YESU KRISTO WA NAZARETH!!
Katika maombi yangu yote hata yale ambayo nafsi yangu ilisita JINA LA YESU NILIPOLIITIA HALIKUWAHI KUNIANGUSHA MZEE [emoji120][emoji120]
 
Majina mengine ni haya

Arthan, Thaadas, Caudas, Yalchal, Formione, Guth, Maguth, Guth[r]yn, Iammax, Carmox, Ycanol, Pasfrau, Sarabocres, Nassar, Cynassa,Alpha & Omega, Agla



Sent from my iPhone using JamiiForums
Agla..aglatai
 
Kifupi ni kua huwezi kumtuma yesu akufanyie kazi ..ila unatumia majina matukufu ya mungu Kuwaita archangels kukufanyia jambo lako..maana usifkiri unaweza kumuita Gabriel akaja...yeye unamuita na kuomba wasaidizi wake(archangels) in the name of theMost high God wakutekelezee hitaji lako....
 
jona la Yesu pekee ndiyo lenye nguvu kupita yote,wachawi,waganga,walozi na mashetani wanalijua jina la Yesu linavyowafanya pindi linapotamkwa kwa imani
 
Abiara chumim.Jehovah apayin..el shadai..Adonai..Jehovah tzabaoth.yahwe.Tetragramaton...Ehieh...
Asante lakini hili la mwisho huwa mnalikatisha ni Ahaya shara haya aduwnay as'bawti asbatuwny (Ehieh Asher Ehieh Tzabaoth El Shaddi) mnageuza tu maana lakini kusudi ni moja. na Adonai ndio Aduwnay.
Lakini katika list ya majina ninayoyazungumzia hapa sio haya ya sifa za Mungu kwa wayahudi uliotaja wewe

Rakims
 
Sidhani kama hii ni quote umefanyia thread labda kuna member ulikuwa unajaribu kumjibu
 
jona la Yesu pekee ndiyo lenye nguvu kupita yote,wachawi,waganga,walozi na mashetani wanalijua jina la Yesu linavyowafanya pindi linapotamkwa kwa imani
mjue sana Mungu ili uwe na amani na elimu katika maisha yako.
Usikae unaabudu binadamu au sanamu mwenzio kwa kufananisha na Mungu ukumbuke walichofanywa wana wa izrael multiple times
 
Mkuu kama bado upo hai kama sisi nikwambie tu kwamba huu uzi wako ni famba na unajitahidi kujiweka kwenye wrath of God kwa kujaribu kumuweka mbali na watu wake.

Kama unasema majina ya Mungu ni siri basi Hakutuita kww Jina lake.
 
Mkuu kama bado upo hai kama sisi nikwambie tu kwamba huu uzi wako ni famba na unajitahidi kujiweka kwenye wrath of God kwa kujaribu kumuweka mbali na watu wake.

Kama unasema majina ya Mungu ni siri basi Hakutuita kww Jina lake.
Naheshimu wazo lako japo upo na uelewa finyu sana na ulichokisema,
Kwanza kabisa fahamu hakukuwa na maana ya kuanza kuquote kwa kebehi kama nipo hai au nimekufa.
Pili Mungu hamgadhibikii mtu anaeamini uwepo wake na asiyekuwa na shaka na yeye.
Tatu; Ni wapi kwa uelewa wako finyu unaniona mimi namuweka Mungu mbali na watu wake? Je, hakijakuijia kisa cha Falao na Mussa? Labda nikuulize imani yako kwa Mungu unaemsema ipo upande gani ili niweze kukujibu kwa ufasaha?
Nne; Nimesema "Baadhi ya majina ya Mungu...................Etc. Na sijasema majina ya Mungu ni siri nikurekebishe hapo.

Mwisho:
Nimesema kuna majina ya Mungu ambayo ni ya siri (Mungu humpa amtakae na humnyima amtakae) hivyo kuliko kupinga kile ninachosema ni bora akili yako ianze kufunguka kwa nilichosema ukapata ziada usiwe na akili ambayo ipo limit kwa maana mwenyezi Mungu kakupa uhuru wa maarifa na kama wewe ni Muislam mtume anasema itafuteni elimu hata kama ipo china. Na kama wewe ni Mkristo Masiah anasema "watu wanngu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Kabla sijaelendea kukutolea ziada ya maelezo dunia hii ilipita mitume wangapi? Kila mmoja alifundisha nini? Kila mmoja alifanya muujiza kwa kutumia nini na Kwa nini elimu zingine walipewa watu wengine na wengine wakapewa zingine?
Wala hata usinijibu haya kwa maana najua majibu huna na baada ya hii utaquote Pumba tena kwa mara nyingine.

Elewa ya kwamba kiila mtu ana kile alichojaliwa na mwenyezi Mungu katika elimu. Sasa usiwe mjinga kuzungumza jambo usilolijua na kuhukumu usichokijua.

Rakims
 
jona la Yesu pekee ndiyo lenye nguvu kupita yote,wachawi,waganga,walozi na mashetani wanalijua jina la Yesu linavyowafanya pindi linapotamkwa kwa imani
Tumia iyoiyo imani bila kulitamka ilo jina hakika utafanyi miujiza.

Husi kariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…