Faida za Majina ya Mungu yaliyotumika kuumba na kauli zenye nguvu na Maajabu yake ya hali ya juu

haya ni mafundisho ya dini flani hivi asili yake ni huko uajemi ambao wanafanya ibada mara 5 ndani ya masaa 24..ndio dini pekee Mungu wao ana majina 99 au 100 hivi
 
Wewe ni mpiga ramli kama wengine tu..endelea kudanganya vipofu na mafundisho yako unayojua mwenyewe unapoyatoa, but keep in touch ipo Siku utatakiwa kutoa hesabu ya kila neno ulilosema.
Sio nitatakiwa mkuu, tutatakiwa wewe mwenyewe ni mlopokaji tu ipo siku utahesabiwa uliyoropoka,

Rakims
 
Wewe ni mpiga ramli kama wengine tu..endelea kudanganya vipofu na mafundisho yako unayojua mwenyewe unapoyatoa, but keep in touch ipo Siku utatakiwa kutoa hesabu ya kila neno ulilosema.
binadamu kiumbe Wa ajabu sana.yaani kila mtu mwenye uelewa Wa ziada ni mpiga ramli. aya wewe mcha Mungu una lolote unaweza kutueleza kuhusu mada aliyoleta rakims
 
Hivi vitu ni siri au.???? hatupaswi kuvijua AU ndio zile attitude za kibongo unataka ujue wewe tu AU Mkuu unapiga pesa kwenye hili...

Enways, nimeuliza tu
Hapana mkuu sipigi pesa kuna watu nitawapa ambao wanafaa na wanaweza kutumia kwa huruma na hofu ya mungu na wanajulikana, sio kina kalachuwala mkuu

Rakims
 
Hawezi kutoa ushahidi wa hii elimu anayoifundisha katika UISLAM.
Katika uislamu hakuna majina 99 ya mwenyezi Mungu?

Acha ujinga? Hakuna jina Masiyah bin Maryam? Hakuna Alif lam Meem? Hakuna Swaad? Unazitambua faida za jina la Al Hakkamu???

Wewe muislamu gani ambaye unakurupuka mtu hajamaliza maongezi? Huwaoni wengine wanasubiri mwisho wa mada ufike waanze kuhoji? Kuwa na Hitram akhiy usijudge jambo kabla ya kujua mwisho wake..

Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…