krystiano7
Member
- Mar 19, 2019
- 94
- 132
Ni vizuri kusililiza members wanachosema maana toka useme utataja majina naona miez inaenda tu.Au we mwenyewe huna unataka utumiwe kaka??Kwa unafiki unaondelea humu mada nyingi nitaanza kuziremove kwa maana nafundisha wajinga asilimia kubwa wacha nianze na hii,
Rakims
Isiwe tabu mkuu, wacha tupate futari usiku wa leo nitaendelea by the way nasubiri nitumiwe na wewe au?Ni vizuri kusililiza members wanachosema maana toka useme utataja majina naona miez inaenda tu.Au we mwenyewe huna unataka utumiwe kaka??
Iko wapi?
Kaka ukiona hivyo ujue watu wanahitaji huduma ndio maana maswali mengi.Kama tungekua hatuhitaji usingeona comment hata moja kama nyuzi nyingine.By the way futari imeisha ila naona bado kaka.Isiwe tabu mkuu, wacha tupate futari usiku wa leo nitaendelea by the way nasubiri nitumiwe na wewe au?
Rakims
Uzima leoKaka ukiona hivyo ujue watu wanahitaji huduma ndio maana maswali mengi.Kama tungekua hatuhitaji usingeona comment hata moja kama nyuzi nyingine.By the way futari imeisha ila naona bado kaka.
Poa poa broUzima leo
nikijaliwa nitamaliza hili deni
Rakims
UpdatikaThead updated
Kwako mkuu, kwa wengine yanatufaa sana, huna hata maana ya kupost hiyo quote yako kwa maana katika maelezo yote we umeona hivyo tu,Tumepewa jina moja na Mwenyezi Mungu....ni YESU MNAZARETI. Kwa lugha ya kiyahudi anaitwa YESHUA.
Hayo mengine yote yaliyobaki wala hayana ulazima wowote