Faida za Majina ya Mungu yaliyotumika kuumba na kauli zenye nguvu na Maajabu yake ya hali ya juu

hivi wakristo na waisrael wanamwitaje Mungu wao kwa jina lake? tuanzie hapo kwanza
 
embu achana na hao wanao kuvuruga jikite kwenye mada yako ili kuwe na muendelezo,usije kuhamishwa mada,,,
Pamoja sana mkuu,
 
Naomba unielezee hilo la sita nawezaj kulitumia
 
Na mimi mchango wangu nadhani mkuu ni ************************************** kwani siwezi kuchangia nayo ni siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…