Faida za mfumo wa vyama vingi kwenye Taifa

Faida za mfumo wa vyama vingi kwenye Taifa

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
2CRCF.png

Uongozi katika nchi ya vyama vingi hufuata misingi ya kidemokrasia yenye kuheshimu utu na kulinda haki za binadamu

Vyama vingi huleta ushindani wa kisiasa na maendeleo ya nchi.

Mfumo wa vyama vingi unatoa fursa ya kufuatilia mihimili mikuu ya Serikali, Utawala, Mahakama na Bunge (checks and balance)
 
Upvote 0

Kila siku mnaimba Vyama vingi mmesahau Elimu ndo mchawi wa kila kitu,Siasa inarudisha maendeleo nyuma. Tuwaandae wataalamu wetu afu tuwakabidhi baadhi ya Sekta na tusiruhusu sekta hizo ziingiliwe na siasa
 
Kwenye swala la rushwa vyama vingi ndio vimekua chochezi na sio suruishi,
Katika nchi nyingi znazoendelea rushwa inaendlea kutamba hasa kipindi cha kampeni za uchagu

Democracy sio kua na vyama vingi, kuepo kwa election ndio kigezo kukubwa cha kuepo kwa democracy be it election for politicla party or for candidates within a single party, na misingi mingne ya democracy ikafata, hil linaezekana kufanyika pia

Lakin democracy ya sasa imeonekana lazma Multiparty kwa sababu hiko ndio kichaka cha kupitishia maovu ya mabepari, kutuekea utofaut ili tuzozane kwenye ujinga na kuacha kujadil pamoja maendeleo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom