Kila siku mnaimba Vyama vingi mmesahau Elimu ndo mchawi wa kila kitu,Siasa inarudisha maendeleo nyuma. Tuwaandae wataalamu wetu afu tuwakabidhi baadhi ya Sekta na tusiruhusu sekta hizo ziingiliwe na siasa
Uongozi katika nchi ya vyama vingi hufuata misingi ya kidemokrasia yenye kuheshimu utu na kulinda haki za binadamu
Vyama vingi huleta ushindani wa kisiasa na maendeleo ya nchi.
Mfumo wa vyama vingi unatoa fursa ya kufuatilia mihimili mikuu ya Serikali, Utawala, Mahakama na Bunge (checks and balance)