Chifu mkuu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2025
- 857
- 926
Ninapenda nimuo e akikojoa na wewe ukiugema ili niwe na uhakika na si wa mbuziFAIDA ZA MKOJO WA SUNGURA KWENYE
KILIMO
Sungura hufugwa kwa ajili ya kutupatia nyama
ambacho Ni kitoweo kizuri na muhimu Sana.
Hivyo wafugaji wengi Sana hujipatia kipato
kizuri kupitia ufugaji wa sungura.
Lakini sungura Wana umuhimu Sana kwenye
kilimo. Mkojo wa sungura una umhimu
mkubwa Sana kwenye kilimo. Hutumika Kama
MBOLEA na dawa pia. Matumizi ya MBOLEA za
viwandani Kama DAP, N.P.K pamoja na UREA
kwa muda mrefu huathiri rutuba ya udongo na
kuufanya udongo usifae kwa matumizi ya
kilimo.
Mkojo wa sungura huweza kutumika Kama
MBOLEA ya asili na rafiki kwa kilimo kwani
hudumisha na kuongeza rutuba ya udongo.
Mkojo wa sungura una virutubisho vingi vya
madini ya naitrojeni, phosforasi na kalsiamu na
potasiamu ambayo ndio mara nyingi huitajika
na mimea kwa ukuaji mzuri. Iwapo mkulima
atatumia Lita moja ya mkojo wa sungura kwa
Lita tano za maji asubuhi na jioni atapata
matokeo mazuri kwenye kilimo.
Mkojo wa sungura unatumika pia Kama dawa
ya kuua WADUDU waharibifu kwenye kilimo.
Iwapo mkulima atatumia Lita moja ya mkojo
wa sungura kwa Lita mbili au tatu za maji
ataweza kuua WADUDU waharibifu kwenye
kilimo. Hii Ni kwasababu mkojo wa sungura
una kiambata Cha ammonia ambacho huua
WADUDU Kama fangasi na bakteria. Hii pia
hutunza na kuhifadhi rutuba ya udongo.
Kwa mahitaji ya mkojo wa sungura tutafute:
0717 445411
0784 024 733
Pasua manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Karibu Moshi nikuonyeshe anavyokojoa na namna mkojo wake unavyohifadhiwa!Ninapenda nimuo e akikojoa na wewe ukiugema ili niwe na uhakika na si wa mbuzi
Sungura pia nauza.Mkuu vipi sungura unao unauza? Sh ngapi nipo Kahama nahitaji wa2 tu wa mapambo hapa kwangu.
Kwa faida ya wengi weka hapa picha tuone breed ulizo nazo bandana kwako mkuuSungura pia nauza.
Ninao kama 40 wazima na vitoto kama 20. Nataka niwapunguzepunguze kidogo kwasababu kuna kama watano wana mimba kwahiyo baada ya muda watakuwa wengi sana.
Nitafute tuzungumze biashara.
0717445411.
Iko hivi :, Uvunaji wa mkojo wa sungura unafanana na uvunaji wa maji ya mvua.Ninapenda nimuo e akikojoa na wewe ukiugema ili niwe na uhakika na si wa mbuzi
Kwa faida ya wengi weka hapa picha tuone breed ulizo nazo bandana kwako mkuu
Kwa faida ya wengi weka hapa picha tuone breed ulizo nazo bandana kwako mkuu
Kuna mzee mmoja aliingizwa mkenge na watu wa sungura aliingiza mtaji wa 16 milion kufuga sungura , na walikubali si mchezo alikuwa na uwezo wa kuvuna mapipa matatu per day , mbolea magunia ya kutosha ila jamaa waliingia mitini . Nilipomtembelea nikamtia moyo na kumwelekeza kwa kuwa ana shamba kubwa apande parachichi na atumie mbolea hiyo .FAIDA ZA MKOJO WA SUNGURA KWENYE