MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,726
- 2,691
habari zenu wadau yeyote anayefahamu faida za hizi mambo manake nimeanza kutumia ashagwandha(Mmea unaokua huko india) nilikua natatizo la Depression na anxiety kuna daktari akanishauri nitumie Ashagwandha itanisaidia kuna ukweli wowote juu hizi capsules manake nimejarbu kupita pita huko Youtube na kwingine kila mtu anasema lake any experience kwenye hili jambo.
Pamoja na yote nasikia unasaidia kuweka homoni sawa za mwananume na wakike pia inasaidia kuonge libido na sex drive kuna ukweli wowote manake meanza tumia nina siku ya pili sasa yeyote ashawah tumia faida na hasara zake ni zipi.