Faida za mmea wa Ashwagandha

MAJIYAPWANI

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
1,726
Reaction score
2,691
habari zenu wadau yeyote anayefahamu faida za hizi mambo manake nimeanza kutumia ashagwandha(Mmea unaokua huko india) nilikua natatizo la Depression na anxiety kuna daktari akanishauri nitumie Ashagwandha itanisaidia kuna ukweli wowote juu hizi capsules manake nimejarbu kupita pita huko Youtube na kwingine kila mtu anasema lake any experience kwenye hili jambo.

Pamoja na yote nasikia unasaidia kuweka homoni sawa za mwananume na wakike pia inasaidia kuonge libido na sex drive kuna ukweli wowote manake meanza tumia nina siku ya pili sasa yeyote ashawah tumia faida na hasara zake ni zipi.
 
Endelea kutumia uje hapa utuambie matokeo yake ili na sisi tuwashauri wengine.
 
Endelea kutumia uje hapa utuambie matokeo yake ili na sisi tuwashauri wengine
Sawa manake daktari alinambia ni natural capsules hazina kemikali ngoja nijarbu nione.
 
Vip inafanya kazi kwel hiyo ashwagadha maana nilickia pia..inapunguza stress,anxiety
 
Vipi mkuu. Zilikusaidia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…