Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Waache Waende kwa wanasiasa ngoja wajamen tupate joto vifuani na weekend hiiπ₯π₯π₯Haya bwana rostam aziz tumekusikia. Lkn mara nyingne kama hutaki mambo ya ngono nenda jukwaa la kilimo na uvuvi mkajadili uwekezaji huko
Watu huwa wanalazimisha kila mtu awaze kama wao kingne kila jambo na mahali pakeWaache Waende kwa wanasiasa ngoja wajamen tupate joto vifuani na weekend hii[emoji91][emoji91][emoji91]
Hasira za umaskini ni mbaya sana , kila saa visurani[emoji23]Umaskini na ngono wapi na wapi dada? Umasikini upo na ngono ipo, hata tusipowaza ngono bado tutakua maskini tu. Wewe mpe mumeo hiyo papa aichakate.