Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kwa wale wanaouguza wagonjwa mahtuti na wale wenye vidonda midomoni. Menya nanasi ukamue juice, Weka kwenye kikombe au bakuli, chukua mswaki wa mtoto uloweshe na juice ya nanasi usafishe kinywa cha mgonjwa.
Ukiwa na majeraha na uko mbali na tiba, osha vidonda na juice ya nanasi ni antiseptic nzuri sana.
Kwa bowel cancer pia, nanasi ni tunda kwnye fibre hivyo husafisha utumbo mkubwa na kuondoa hatari za colon cancer
Mengine hii wenu wenyewe.