Faida za nanasi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011



Kwa wale wanaouguza wagonjwa mahtuti na wale wenye vidonda midomoni. Menya nanasi ukamue juice, Weka kwenye kikombe au bakuli, chukua mswaki wa mtoto uloweshe na juice ya nanasi usafishe kinywa cha mgonjwa.

Ukiwa na majeraha na uko mbali na tiba, osha vidonda na juice ya nanasi ni antiseptic nzuri sana.

Kwa bowel cancer pia, nanasi ni tunda kwnye fibre hivyo husafisha utumbo mkubwa na kuondoa hatari za colon cancer

Mengine hii wenu wenyewe.
 
Napenda kula sana nanasi,kumbe inanisaidia kwenye mambo mengi!
Big up #sky
 
Nanasi husaidia, kurudisha kumbukumbu, kwa mwenye tatizo la kupoteza kumbukumbu (Kusahau).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…