Faida za nyanya chungu

mmenifumbua macho kwelikweli mi nilijua kunywa supu ya pweza tu kumbe dah..hata nyanya chungu
 
Naenda kuzipanda kama maua kuzunguka nyumba. Mapishi yake vipi au unaweza kuzipiga mbichi nikavute kadhaa frijini?
 

Kwa kuongezea pia zinaongeza maji kwenye Kipochi manyoya kwa ajili ya Katerero!
 
Tupe source ya hii habari nyeti. Ninavyojua nyanya chungu ni sumu ukizitumia kwa wingi na kwa muda mrefu
 
ngoja kesho nikanunue fungu 2 za hio maneno
 

Ha ha ha Bujibuji! eti Tukuyu iwe ya moto! Ha ha ha! Tonite weather forecast shows night temperature in Tukuyu is 4 degrees of centigrade!
 
hiyo c sawa na dawa ya kuongeza nguvu za kiume?
 

mkuu umetishaa....!
 
sakapal kweli wewe ni mkali wa majamboz

umeona eeeh ndomana nataka nimpe machejo Obama hadi anamaliza urais huko marekani safari za kuja TZ zitakuwa kama anaenda chooni, chezeiya sakapal weye chotara wa................. aliyekulia kwenye shamba la ngogwe/nyanya chungu heheheee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…