Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
umeona eeeh ndomana nataka nimpe machejo Obama hadi anamaliza urais huko marekani safari za kuja TZ zitakuwa kama anaenda chooni, chezeiya sakapal weye chotara wa................. aliyekulia kwenye shamba la ngogwe/nyanya chungu heheheee
kuna mmoja anazichoma kwa moto kama viazi.
Ila wanasema zinaongeza mma chini
Nimekumiss sana CHUAKACHARA
Kumbeeeeeeeee
kweli usione watu wanakula nyanya chungu daily ukadhani hakuna hela ya nyama!!!!!
ahsante sana
Tahadhali uzidishaji wa ulaji wa hii kitu ni hatari wababa msije mkalazimika kwenda ofisini na kanzu baada ya kitu kugoma kulala!
hizo 3 ni nyingi au ndogo?
Tahadhali uzidishaji wa ulaji wa hii kitu ni hatari wababa msije mkalazimika kwenda ofisini na kanzu baada ya kitu kugoma kulala!
Naenda kuzipanda kama maua kuzunguka nyumba. Mapishi yake vipi au unaweza kuzipiga mbichi nikavute kadhaa frijini?
Wewe Evelyn kweli Bukoba wanakokula ngogwe(nyanya chungu) kwa kwenda mbele hawana nguvu! Utaulizwa na mumeo utajuta akiona hii response yako!
Ni nyingi kama kila moja lina ligwaride la haja, na ni chache kama kila moja linachukuwa nusu dakika kutokahizo 3 ni nyingi au ndogo?
lMlenda ndio unaongeza bana yaani huu nimethibitisha kabisaa.Kwa kuongezea pia zinaongeza maji kwenye Kipochi manyoya kwa ajili ya Katerero!
Jaman na mchuzi wa pweza na karanga vp?
kuna mmoja anazichoma kwa moto kama viazi.
Ila wanasema zinaongeza mma chini
lMlenda ndio unaongeza bana yaani huu nimethibitisha kabisaa.
Wewe Evelyn kweli Bukoba wanakokula ngogwe(nyanya chungu) kwa kwenda mbele hawana nguvu! Utaulizwa na mumeo utajuta akiona hii response yako!
TUKUYU