Umeanza uchoyo huo, kizuri kula na mwenzio bana!
Dunia ina mambo kaka/dada kuna wengine hata ako kamoja kukapata ni shughuli babu anashtuka kwa msimu akiwa ofisini babu akishtuka anampigia cm mama watoto anamwambia babu ameshtuka tukutane nyumbani haraka
Tahadhali uzidishaji wa ulaji wa hii kitu ni hatari wababa msije mkalazimika kwenda ofisini na kanzu baada ya kitu kugoma kulala!
Mamndenyi, hujamwelewa Bujibuji, kisha tuelekza, dawa ya chumbani ni hiyo Nyanya Chungu aka Ngogwe, nimeisha anza kuitumia na nime prove inafanya kazi vizuri tu, turudi sasa kwenye ombi langu, nimefanikiwa au? Nina maana nitume watu kwenu?Mazindu Msambule kamwambie Bujibuji dawa ya chumbani anayo yeye mwenyewe
Mmmmh sijui kama kuna utafiti wa kisayansi kuthibitisha hili, ila mimi naelewa inasababisha mucus kwa zile kavu au kama mwanamke anaumia wakati wa tendo.
But all in all imani ya mtu ndiyo humponya
Mjifunze na kuandika heading,mtu anatakiwa kujua topiki inahusu nini kabla hata ya kuamua kusoma,hii siyo barua mpaka uifungue ndo ujue nini kinazungumzwa.
NATAMANI KILA ANAEANDIKA MADA YAKE AWEKE BAYANA INAHUSU NINI.
kwani ungeleza mfano.
NYANYA CHUNGU NDIO TIBA:kwa tatizo la PAPUCHI kutoa maji.
TUNGELEWA MOJA KWA MOJA,ama vyote lakini tungeelea,heading tells the whole story in a single sentence.

Wengine tunapenda zenye maji bhaana!
www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/476709-dawa-ya-chumbani.html
Huu utafiti mbona uko hapa long tine?
Mjifunze na kuandika heading,mtu anatakiwa kujua topiki inahusu nini kabla hata ya kuamua kusoma,hii siyo barua mpaka uifungue ndo ujue nini kinazungumzwa.
NATAMANI KILA ANAEANDIKA MADA YAKE AWEKE BAYANA INAHUSU NINI.
kwani ungeleza mfano.
NYANYA CHUNGU NDIO TIBA:kwa tatizo la PAPUCHI kutoa maji.
TUNGELEWA MOJA KWA MOJA,ama vyote lakini tungeelea,heading tells the whole story in a single sentence.
kweli bhana hasa kama uko kwenye eneo lenye shida ya maji! Utapata angalau maji ya kupikia chai au ujiWengine tunapenda zenye maji bhaana!