Faida za nyanya chungu

Mazoezi yanahusika sana, ila vyakula aina ya mimea ni muhimu zaidi kwani kwanza vinasaidia hata kusafisha mfumo wa damu na mentality, hivyo mwili unakuwa stable kwa mambo mengi ikiwemo kazi za kila siku na hata malovedave
 
Chemusha nyanya chungu kama 10 hivi chukuchuku zikishaiva changanya na maziwa mutindi kula kama mixture fulani ni dawa kubwa sana ya k for all purpose
 
Nimeziona jana mahali Fungu 500/= jioni, sasa kila jioni ntakuwa nanunua fungu mbili nikitoka ofisi,tutakuwa tunakula na mamito wangu maana naona siku hizi tunaanza kurusha siku za kale kamchezo katukufu!
 
Ngoja nizifate sokoni..ila nazipenda kuzitafuna mbichimbichi na Bamia
 
ukizidisha zinasababisha kukauka kwa uroto kwenye joint hasa kwa wanaume na tatzo la kibailojia linaitwa anal itching(kuhc kama kuna kakitu kanawasha/choma sehemu ya haja kubwa unataman ukapanguse unashndwa ndo unaona mtu anajitia vidole matakoni kujikuna.
 
Dozi kamili, nyanya chungu mbili, zichemshe kwa dakika 10 kwenye gesi, chukua chupa moja ya beer ya balimi kwa kila nyanya chungu moja, kunywa kwa haraka. Baada ya kumaliza ongeza balimi mbili za baridi, basi hapo utakua umepona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…