Faida za pera mwilini

Asante Sanaa Chief, Kwa Elimu Nzuri Uliyoipost Leo!! Nimeipenda Ya Kuchanganya Kati Ya Pera, Karoti Na Tangawizi!! Kama Itakuwa Napata Virutubisho Vyote Sawa!! Naomba Kuuliza, Hivi Mi Kama Nitayamenya Na Kusaga Hayo Matunda, Nitapoteza Nini!! Na Nisipomenya Nitaharibu Nini??
 
Asante ndugu ila mapera miye nayaogopa maana yanasababisha (constipation) kukosa choo..hii nimeshuhudia mwenyewe..ila napenda sana juice ya guava
 
Kula tunda la pera na kula ndizi na matunda mengine hutopata kufunga choo na pia pendelea kunywa maji mengi tu yanasaidia kutofunga choo.
 
Kuna baadhi ya Virutubisho vitapunguwa lakini sio sana unaweza kufanya unavyotaka wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…