FAIDA ZA PILIPILI KICHAA KIAFYA NA KITABIBu

FAIDA ZA PILIPILI KICHAA KIAFYA NA KITABIBu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
10177515_10154019701920198_1567686064682072329_n.jpg


10155678_10154019702325198_6935579991124521942_n.jpg


10151171_10154019702930198_6605252748413006280_n.jpg


FAIDA ZA PILIPILI KICHAA KIAFYA NA KITABIBU TIBA MBADALA

Pilipili kichaa inaweza kustawi sehemu mbalimbali na inahitaji siku 100 za ukuwaji.Hustawi zaidi kwenye mazingira ya joto na unyevunyevu.Mmea huu hukua kufikia urefu wa futi mbili hadi nne.Ina wingi wa vitamini A,pia ina vitamini B,vitamini E,vitamini C,Riboflavin,Potassium na Manganese.

- Jamii nyingi hususa Marekani na bara la Asia wana historia ya kutumia pilipili kichaa kama tiba.Ni dawa yenye nguvu sana na matumizi
mengi,hutumika sana kwa kusafisha damu na kutoa sumu mwilini,pia hutumika kusisimua mzunguko wa damu na kuweka sawa uwiano wa
tindikali(acid)mwilini.Pilipili kichaa imetumika kwa maradhi tofautitofauti ikiwemo moyo,gauts,kupooza,homa,kikohozi,tonsilatis,kichefuchefu na hemorhoids kwa miaka mingi huko Asia na mashariki ya mbali.

MAAJABU YA PILIPILI KICHAA;


1.Kutibu kidonda-Hii inaweza kuwa ni ajabu kwa walio wengi lakini ni tiba liyothibitishwa na imekuwa ikitumika miaka kadhaa iliyopita katika nchi

mbalimbali.Sio tu kuzuia kutokwa na damu katika kidonda cha kujikata kama ilivyozoea kutumiwa na wengi huko majumbani kwa miaka mingi bali
pia huzuia fangasi na bakteria kuingia katika uwazi wa kidonda hicho hutumika pia kuondoa sumu mwilini

2.Hufanya mwili kuweza kutumia vyema virutubisho vipatikanavyo kutokana na chakula


3.Husaidia uyeyushaji wa

mafuta mwilini/Kuchoma mafuta

4.Pilipili ina antioxidants muhimu kama beta carotene,ina wingi wa vitamini A,C na K hebu tuziangalie vitamini hizo: a.Vitamini A husaidia kuweka sawa kinga ya mwili pia hutukinga na kansa

na magonjwa ya moyob.Kazi ya vitamini C-ni kuzuia strock,magonjwa ya moyo,macho na kansa mbalimbali.Miili

ya binadamu haiwezi kujitengenezea vitamini C,hivyo basi tunaweza kupata vitamini C kupitia

chakula.c.Vitamini K-Husaidia katika ukuwaji wa mifupa,pia ni muhimu katika mzunguko wa damu.Pilipili zote huwa na Capsaicin ambayo kazi yake ni kupunguza maumivu,kuzuia kansa na magonjwa ya moyo.

5.Inasaidia sana kusawazisha sukari kwenye damu


6.Huwasaidia

watu wanene(over weight) au wanaougua ugonjwa wa kisukari.Hii ni kwa mujibu wa watafiti katika chuo kikuu cha Tasmania uliochapishwa katika American Joarnal of Clinical Neutition mwezi julai 2006.

7.Inasaidia kwa

kiasi kikubwa kudhibiti kwa kiasi kikubwa INSULIN kwa 60% baada ya kula chakula

8.Husaidia kupunguza maumivu na uvimbe kwenye tezi na vilevile

huwasaidia wagonjwa wa RHEMATOID na ARTHRITIS kupata nafuu

9.Husaidia kuondoa mkusanyiko wa damu sehemu moja

mwilini

10.Husaidia kufungua kwa haraka na kwa ufanisi pua zilizoziba kwa mafua na kukufanya upumue kwa urahisi.


11.Husaidia kupunguza uwezekano wa kupatwa na saratani ya utumbo.


12.Husaidia kuongezeka kiwango cha METABOLIC ambayo husaidia kuchoma mafuta


13.Husaidia kuongezeka kwa kiwango cha METABOLIC kwa 23% ndani ya masaa matatu.


14.Husaidia kupunguza cholestro na kupunguza kiasi cha fibrin katika damu.


Kwa Ushauri wa Maswali na Matibabu ta Maradhi yoyote yale wasiliana na mimi Kwa njia ya email Baruwa ya

pepe Email Address yangu hii hapa
fewgoodman@hotmail.com
 
Back
Top Bottom