Faida za Qisti 30

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
5,002
Reaction score
4,571
QISTI


Faida za Qisti huwezi kuzizungumzia kwa mara moja zikajulikana na kueleweka zote kwa mara moja, qisti ina faida nyingi sana ambazo ukikaa na kuzisoma utatamani uipate sasa hivi na kuanza kuitumia hata kama ulikuwa ukiitumia kwa mambo machache, utatamani uanze kuitumia kwa mapana na wazfa,

Qisti ni mti mfano wa mti wa toothpick ambayo ladha yake ni chachu na harufu yake kidogo ni kama samaki aliyekauka. ni mti mrefu unaokuwa katika mabondo ya Indian Kashmir. urefu wake hukaribiana na urefu wa kidole. nayo kirahisi tu hujulikana kama dawa ya antibiotic yenye kutibu zaidi ya maradhi 70 tofautina hapa nitazungumzia yale muhimu tu ambayo yalitibitishwa na mjumbe wa mwenyezi mungu kama ifuatavyo:

Ni mmea wa kiasiri wenye kutibu magonjwa mengi bila madhara yoyote. Mizizi ya Qisti hutumika katika kuondosha maumivu ya mwili, vijidudu ndani ya mwili, mihemko mibovu ya mwili kama hasira,chuki na ugomvi, kuondosha makuzi ya bacteria zilizomo ndani ya mwili na kuacha mwili huru, na maradhi mengine mengi,


FAIDA ZA QISTI PIA:

KIFUA KIKUU:



Katika kutibu kifua kikuu chukua qist na dawa hizi:

Habat Sauda
Gome la Qisti
Henna

Dosage : Baada ya chai na chakula cha usiku changanya dawa hizo na maji ya uvugu vugu kunywa vijiko viwili kila siku kwa muda wa mwezi 1 TB imeisha


QISTI KATIKA KUTIBU UCHAWI AU KIJICHO:


Chemsha kwenye sufuria na anza kujifanyia steaming ukivuta mvuke wake puani na mdomo ukiwa wazi hakikisha umeweka kipimo cha kutosha nusu kilo ya sufuria na anza kuvuta nyungu yake,

Ikiwa mtu kaathirika sana na uchawi huu ainambili basi anatakiwa achanganyiwe na dawa za msaada zitakazo changanya na Qist na ajifushe na kuoga maji ya

zamzam kichupa kimoja ya

uvuguvugu wakati huo akiwa kasha andika aya na kuzisomea kwenye maji na kunywa kama kombe:
Soma aya za ruqya ya kisheria huku unapuliza
kwenye chombo chenye maji ya zamzam unaweza ukadilute kama kuyapata ni vigumu kwako tumia maji ya msikiti
au mafuta ya zaituni lita moja
na vijiko vidogo vya Qisti 7 kwenye chombo hicho

Changanya na vijiko saba vya unga wa mrehani na na uchemshe kwenye moto kwa dakika 7 na uepue baada ya hapo yaache yapoe na hayo utakuwa ukipaka kwenye mwili kama mafuta ya kujipakaa
au kuchua
Kama inakuletea ugumu katika kutoa uchawi mwenyewe basi nitafute takusaidia.



KUJITIBU KATIKA KOO NA KIFUA:
Mazalia ya vijidudu vilivyoko kwenye koo la chakula au njia ya koo kushuka kwenye mapafu pia huweza kutibiwa kwa Qisti

ili kuweza kutibu koo na kifua chukua unga wa qisti na uchanganye na asali katika ujazo sawa na ukoroge kisha utakuwa ukitumia kwa kula vijiko viwili kwa siku mara 3 baada ya chakula kwa siku 7 tatizo litakua limeisha


KUJITIBU ALAMA NA MAKOVU MWILINI:


Hufahamika moja kwa moja kwamba makovu na alama za kuzaliwa haziwezi kufutika katika mwili lakini sio kwa Qisti:

changanya vijiko 10 vya karanga pamoja na maharage ya kitenge unga wake na changanya na asali hadi viwe uji baada ya kusaga na kukoroga

Dosage:
pakaa na sugua sehemu ya kovu na tatizo hadi uhisi joto lake ndani ya ngozi haitachukua muda wa siku kadhaa utaona maajabu na pia hivyo hivyo kwa chunusi na fangas


ASTHMA NA KIKOHOZI


Changanya na asali robo lita na ule siku saba mara 3



VINYAMA VINAVYOOTA HOVYO SEHEMU ZA SIRI NA MWILINI

Ili kuweza kuponya vinyama hivi vya sehemu za siri na sehemu zingine unatakiwa kupata maji ya zamzam na qisti na kula kila siku asubuhi na usiku kwa muda wa siku 60 Hii imeshajaribuwa na uhakika.


KUHARISHA:

Kuharisha muda mwingine huwa ni usumbufu na aibu kama ukipitiliza lakini kwa Qisti ni tatizo dogo kama utachanganya na:
Chukua gram 30 za qist
Gram 10 za hirizi

gram 320 za maji

unga wa kitunguu swaum
changanya vyote hivyo na chemsha vikiiva tia kwenye fridge vikipoa kunywa yote kwa mara moja na kama ni umekua kama ugonjwa basi kunywa kijiko kimoja
kile cha duara kila saa ataacha kuhara



MADOA MEUSI USONI:


Changanya na asali utengeneze mkorogo upake usoni uuache kwa lisaa yatatoka bila shaka


KWA KUTIBU GAUTI:

Ikiwekwa kwenye njia ya dole gumba basi hutibu haraka gauti ndani ya dakika 20,

kusafisha figo na njia ya mkojo dawa hii ni nzuri zaidi na kuondosha sumu za mwili


QISTI NA UKIMWI:
Haitakiwi muathirika wa ukimwi kutumia dawa hii nyakati za asubuhi kwa sababu dawa ya kubunguza makali ya ukimwi huwa inazidiwa nguvu na qisti kwa sababu kazi nyingine kubwa ya Qisti ni kuondosha sumu za dawa ulizowahi kula mwilini zote

hivyo wagonjwa wa ukimwi hawatakiwi kutumia dawa hii na ukiona kwenye mchanganyiko wa dawa za kisunna unakutesa basi jua kumechanganywa Qisti

Hivyo usiguse dawa hii kama umeathirika na Ukimwi


NGUVU ZA KIUME

Hujaza shahawa kwa wingi kwa wale ambao wakimwaga huskia maumivu hii huwafaa zaidi na wale wenye mbegu kiasi kidogo wasiokuwa na tamaa ya kurudia tendo mara ya pili lakii haiongezi nguvu inaongeza shahawa


NI KINGA YA MAGONJWA MLIPUKO:

Huongeza sell hai nyeupe mwilini ikitafunwa kavu kavu

QISTI NA MIMBA:



husaidia kujaza maziwa kifuani kurejesha uke sawa baada ya kuzaa hupunguza uchungu wa mimba kwa asilimia nyingi,

humfanya mama mja mzito kujifungua salama

UPARA NA KUKATIKA NYWELE HOVYO NA KUKOSA NYWELE


MARADHI YA NGOZI YASIYOELEWEKA:

qist pia hutibu kila aina ya ugonjwa kwenye ngozi waweza kuitumia kama sabuni kwa kutumia mapovu yake

KUTIBU UVIMBE WA KOO

Kula Qisti na asali kunatibu uvimbe wa koo kwa mwenye tatizo kila akistuka kutoka usingizini na anapoamka asubuhi kula vijiko viwili nyakati hizo utaona ajabu ya mungu

MATATIZO YA TUMBO:

Huponya homa za matumbo,kuharisha,gas na imara wa tumbo na mfumo mzima wa usagaji chakula,


AFYA KWA FIZI


Mafuta ya qisti husaidia katika fizi kuimarika na kuwa na nguvu pia katika kung'ata chakula na fizi zenye kutoka damu,


UZEE NA UREMBO

Ni mmea mzuri kwa kutumia ikiwa umri wako na ngozi yako inazidi kwenda au kusinyaa. yafaa kutumia kila siku ukiwa umetumia au unatumia asali kwa mchanganyiko wa mask. Mafuta ya qisti pia husaidia katika ulainishaji wa ngozi na mvuto wa ngozi.


MSAADA KATIKA KUONDOSHA UZITO

Husaidia kuchoma mafuta yanayozunguka kwenye kiuno.

DOZI YA QISTI

Watu wengi hupenda kutumia gram moja ya unga wa qisti kwa kuchangaya na asali lakini mimi ningependa kukushauri mtumiaji kuchukua qisti vijiko viwili asubuhi na jioni kwa matokeo mazuri ya matatizo niliyoainisha!


Madhara yake:

Usitumie kama una mimba changa ya mwezi mmoja inaweza kusababisha kutoka.


Usitumie na aspirine maana inaweza kuongeza mawenge.


Kwa haya na mengineyo:
Tembelea:

Rakims
 
Maji ya zamzam ndo yakoje na yanapatikana wapi na qisti IPO wapi mkuu
 
Ndio mkuu ila ya shingoni unaweza kujitibu kwa habbat sauda na asali mkuu

Rakims
itanisaidia sana sana mkuu ...ikiwa utanifahamisha... tuna shida hiyo ....au nije pm??
 
itanisaidia sana sana mkuu ...ikiwa utanifahamisha... tuna shida hiyo ....au nije pm??
Hapana wewe tafuta tu hizo vitu takupa maelekezo hapa na faida p.m ninazo nyingi zingine huwa sisomi kutokana na subject
 
KUTIBU MAKOVU na ALAMa
Karanga zipi mkuu, zilizokaangwa au mbichi? Na huo unga wa maharage unakuwa kiasi gani? Na mti kiasi gani? Na huo mchanganyiko wote unapakaa siku moja kisha kesho yake unatengeneza mwingine au unautunza unakuwa unapakaa kila siku?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ujazo uwe sawa ambao unaweza kutumia siku 7 na pia karanga ni mbichi zilizotwangwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…