SoC02 Faida za Sayansi na Teknolojia ni zipi? Ni jinsi gani tunaweza kunufaika na Sayansi na Teknolojia kwenye jamii?

Stories of Change - 2022 Competition

Magreth Mwanjalila

New Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
4
Reaction score
7
UTANGULIZI

SAYANSI ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo,kutazama na kujaribu. Na TEKNOLOJIA ni vifaa na mashine zinazotumika katika matengenezo au uzalishaji wa vitu. SAYANSI na TEKNOLOJIA ni nyanja zinazotegemeana kwakuwa ujuzi unaopatikana kisayansi unategemea au kuchangia sana kwenye maendeleo ya kiteknolojia, na TEKNOLOJIA mpya inaleta hamasa kisayansi katika kutambua au kugundua utafiti wa tatizo au jambo na vyanzo vitumikavyo kutatua au kushughulikia jambo au tatizo hili. SAYANSI na TEKNOLOJIA zimekuwa zikileta hamasa au mwamko wa maendeleo na mabadiliko ya kijamii tangu enzi na enzi katika ngazi zote za kijamii, mfano miundombinu kama vile shule, hospitali nk.

MABADILIKO ni hali ya kutoka sehemu fulani ya maisha kwenda kwenye hali iliyo bora zaidi. SAYANSI na TEKNOLOJIA zimekuwa na umuhimu mkubwa katika jamii hasa masuala ya uchumi kama vile kilimo,viwanda,utunzaji wa mazingira, utalii,usafiri na mawasiliano. Urahisi unaoletwa na SAYANSI na TEKNOLOJIA kwenye masuala haya yanapelekea mabadiliko.

JINSI GANI JAMII INAVYOWEZA KUCHOCHEA MABADILIKO KWENYE NYANJA YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA KATIKA KULETA MAENDELEO.

📌ELIMU

Mabadiliko kwenye nyanja ya sayansi na teknolojia kuna umuhimu elimu kutolewa kwa jamii ili kunasa fursa chanya inayotokana nayo, kutokana sayansi na teknolojia ina faida nyingi endapo itatumiwa ipasavyo na kwa manufaa,tujitahidi kuwa wabunifu zaidi tusitegemee sana sayansi na teknolojia hivyo basi kuwepo na mipaka katika matumizi haya ya sayansi na teknolojia ili tuzidi kushughulisha vichwa vizidi kuja na ubunifu.

📌AJIRA

Kutokana na uwepo na ukuaji wa kasi wa sayansi na teknolojia umepelekea mpaka suala la ajira kuwa gumu, hii ni kutokana na uwepo wa mashine ambapo Umejuaje mbadala wa rasilimali watu kupelekea ukosefu wa ajira kwa wimbi kubwa la watu, hivyo basi tusitegemee sana kuajiriwa kwakuwa pia tunaweza kujiajiri wenyewe kwakuwa kwasasa kila kitu kimerahisishwa hivyo waweza fungua biashara na ukaitangaza mtandaoni na ukapata wateja.

📌KUPUNGUZA RUSHWA

Kupitia sayansi na teknolojia kuna uwezekano wa kupunguza rushwa kutokana na uwepo wa teknolojia ya habari ambapo uwepo wa vinasa sauti na video vimeweza kurahisisha hilo japokuwa bado kutokomeza kabisa imekuwa ngumu.

📌MATUMIZI SAHIHI YA MITANDAO YA KIJAMII

Kupitia mitandao ya kijamii tunaweza kujikuza kiuchumi,kiakili na kifikra, kwakuwa mitandao ya kijamii inatokana na sayansi na teknolojia hivyo dunia kuwa kama kijiji kuna uwezekano wa kubuni biashara,taasisi au kampuni na kujiongezea kipato.

📌KUDUMISHA MIPAKA KATI YA TAMADUNI ZETU NA SAYANSI NA TEKNOLOJIA

apokuwa asilimia kubwa ya maisha yetu yanaendeshwa na sayansi na teknolojia tujitahidi tusisahau tulipotoka, tangu enzi za mabibi na mababu zetu mila na desturi zetu zibaki kuwa palepale,kwamaana ndio utambulisho na upekee wetu.

HITIMISHO

Sayansi na teknolojia ni nyanja muhimu sana kwenye jamii endapo itatumika ipasavyo na kwa manufaa kwakuwa ina faida nyingi kuliko hasara kwakuwa hata ukiangalia mataifa mbalimbali tunatofautiana katika nyanja za maendeleo hii ni kutokana kuwa wao wanatumia sayansi na teknolojia kwa manufaa na kuleta ubunifu mpya kila kukicha.

Niseme asante sana kwa wewe utumiae muda wako kusoma andiko hili na pia mdau na mwanzilishi, pia usisahau kunipigia kura.

ASANTENI SANA🙏🏽
 
Upvote 6

On point📌👍👏
 
[emoji419]ELIMU

[emoji419]AJIRA

[emoji419]KUPUNGUZA RUSHWA

Kupitia sayansi na teknolojia kuna uwezekano wa kupunguza rushwa kutokana na uwepo wa teknolojia ya habari ambapo uwepo wa vinasa sauti na video vimeweza kurahisisha hilo japokuwa bado kutokomeza kabisa imekuwa ngumu.

[emoji419]MATUMIZI SAHIHI YA MITANDAO YA KIJAMII

Kupitia mitandao ya kijamii tunaweza kujikuza kiuchumi,kiakili na kifikra, kwakuwa mitandao ya kijamii inatokana na sayansi na teknolojia hivyo dunia kuwa kama kijiji kuna uwezekano wa kubuni biashara,taasisi au kampuni na kujiongezea kipato.

[emoji419]KUDUMISHA MIPAKA KATI YA TAMADUNI ZETU NA SAYANSI NA TEKNOLOJIA

apokuwa asilimia kubwa ya maisha yetu yanaendeshwa na sayansi na teknolojia tujitahidi tusisahau tulipotoka, tangu enzi za mabibi na mababu zetu mila na desturi zetu zibaki kuwa palepale,kwamaana ndio utambulisho na upekee wetu.

HITIMISHO

Sayansi na teknolojia ni nyanja muhimu sana kwenye jamii endapo itatumika ipasavyo na kwa manufaa kwakuwa ina faida nyingi kuliko hasara kwakuwa hata ukiangalia mataifa mbalimbali tunatofautiana katika nyanja za maendeleo hii ni kutokana kuwa wao wanatumia sayansi na teknolojia kwa manufaa na kuleta ubunifu mpya kila kukicha.

Niseme asante sana kwa wewe utumiae muda wako kusoma andiko hili na pia mdau na mwanzilishi, pia usisahau kunipigia kura.

ASANTENI SANA[emoji1431]
Napigaje kura?
 
Makala yako nzuri sana. Maana imegusa nyanja zote zile katika jamii yetu halisi ya Afrika na Ulimwengu kiujumla kuhusiana na Sayansi na Teknolojia .
 
Back
Top Bottom