habari wanajamii Forums ,
Tafadhari nahitaji kufahamu faida za kufanya mitihani ya TOEFL, wapi hapa Dar naweza pata Tuition zake , vipi gharama zake ,na gharama ku giregister kufanya mitihani hiyo ni kiasi gani?
Mwenye uelewa wowote kuhusu TOEFL tafadhari, tujuzane.
Natanguliza shukrani za dhati.
asante