Faida za tunda la ukwaju

Ina anti diabetic effect (sikusudii anti shoga nakusudia anti ya ukinzani) halaf inasaidia kornea za macho kuna wengine wanafanya mpaka eye drop za kokwa za maukwaju (wapiga chabo wanaipenda sana), halaf ni nzuri kwa kudhibiti yale makolesterol.

Nikiposti laivu kutoka mzumbe department ya ukwaju, ni mimi dokta wenu klorokwini.

Thanks Dr Klorokwin. Na mie DR. Globu, yaani ulimwengu.

[h=3]FAIDA ZA JUISI YA UKWAJU.[/h]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Tunda la Ukwaju.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Tunda la ukwaju ni tunda lenye faida nyingi sana kwa afya ya mwanadamu. Tunda hili huweza kutumika kutengeneza juisi ambayo matumizi yake yana faida kubwa sana katika afya ya mwili wa mwanadamu.

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Juisi ya Ukwaju.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

NAMNA YA KUTENGENEZA JUISI YA UKWAJU.

Nunua ukwaju wako, ukwaju unapatikana kwa wingi sana masokoni na kwenye supermarkets

• andaa maji kwenye dishi na uoshe kidogo tuu
• baada ya kuuosha chukua ukwaju wako weka kwenye sufuria yenye maji ya saizi na injika jikoni
• uache uchemke kwa dakika 10/15 ili uuwe vijidudu
• ipua ukwaju wako jikoni na uache kwa muda upoe
• andaa maji yako masafi na chujio ili uweze kuchuja juice yako kwa uangalifu zaidi ili upate juice yenyewe
• weka sukari kwa kiasi unachopendelea
• pia ili kupunguza ukali unaweza ukaweka hiliki au vanila ili kupata taste
• weka juice yako kwenye fridge ili ipoe tayari kwa kunywa

FAIDA YA JUISI YA UKWAJU.

1. Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)
2. Chanzo cha Vitamini B na C vile vile "carotentes"
3. Hushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo
4. Huulinda mwili dhidi ya mafua na kero za mafua kooni
5. Husaidia myeyusho na mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa
6. Husaidia kutibu matatizo ya nyongo (bile disorders)
7. Husaidia kurahisisha choo (laxative)
8. Husaidia kupunguza wingi wa lehemu (cholesterol) na hivyo kuimarisha moyo
9. Husaidia ngozi kuwa nyororo, vile vile husaidia ngozi inayopona baada ya kuungua au yenye vidonda
10. Husaidia kuua minyoo tumboni (kwa watoto wadogo)

NB: Ikiwa ukwaju na asali havikudhuru, basi changanya hivyo viwili ili kupata faida maradufu!

chanzo: https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/84597-faida-za-ukwaju.html

Asante sana mkuu.

Asante sana mkuu,nimekuelewa.

FAIDA ZA UKWAJU

Zifuatazo basi ni faida za ukwaju ambazo zitakushawishi siku nyingine kuagiza glasi ya juisi ya ukwaju, na kama ni 'waziri wa mambo ya ndani' ya nyumba, au una fahamiana na 'waziri husika' basi agiza aendapo gulioni asiache kuchukua fungu la ukwaju wa kutosha walao wiki kama si mwezi mzima.

Faida 10 za ukwaju:
1. Chanzo kizuri cha viuasumu mwilini 'antioxidants' ambavyo huzuia Saratani (cancer)
2. Chanzo cha Vitamini B na C vile vile "carotentes"
3. Hushusha joto la mwili na kuondosha homa, hasa homa ya malaria na homa ya matumbo
4. Huulinda mwili dhidi ya mafua na kero za mafua kooni
5. Husaidia myeyusho na mmengenyo wa chakula na kuondosha kuvimbiwa
6. Husaidia kutibu matatizo ya nyongo (bile disorders)
7. Husaidia kurahisisha choo (laxative)
8. Husaidia kupunguza wingi wa lehemu (cholesterol) na hivyo kuimarisha moyo
9. Husaidia ngozi kuwa nyororo, vile vile husaidia ngozi inayopona baada ya kuungua au yenye vidonda
10. Husaidia kuua minyoo tumboni (kwa watoto wadogo)

Ikiwa ukwaju na asali havikudhuru, basi changanya hivyo viwili ili kupata faida maradufu!

Tatizo ni uandaaji wake katika mazingira yetu machafu. Mara nyingi juice zinanywewa zikiwa tayari contaminated.

Mkuu nashukuru kwa kutoa somo zuri lenye faida kubwa kwa afya ya mwili wangu!

Sijaona ya nguvu ya kiume/kike hausaidii maana ulipouliza waziri wa mambo ya ndai nikajua haikosi kwenye orodha

ahsante kwa kutueleza mkuu, naipenda sana juice ya ukwaju.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…